IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

Herehoa!

Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata.
Kimtazamo kuna tatizo mahala fulani maana tumeshuhudia mawaziri wengi tu wakitoa amri hadharani na watu wanakamatwa na kuwekwa ndani bila kusubiri kupewa barua za maelekezo rasmi. Nahisi Kamanda ana jambo lake, tusubiri muda utaongea.
 
Kamanda naye hataki chanjo?
 
Sio kwa Rais! Unafikiri ilo agizo angelitoa Mh Rais lisingetekelezwa mpaka sasa?
 
Ruga unahasira za kuchanjwa nini? Tuambie chanjo inayo magnetic properties au hapana?
 
Sio kwa Rais! Unafikiri ilo agizo angelitoa Mh Rais lisingetekelezwa mpaka sasa?

Baada ya yaliomtokea Sabayosi litatekelezwa lakini kwa tahadhari kubwa na kwa shingo upande. Na hii itakuwa hivyo hata wakati wa chaguzi zetu muda utaongea.
 
Herehoa!

Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata.
Hakuna Sirro hamna kitu . Angeambiwa akawakamate Cdm angesubiri barua ?! . Anakuwa hivyo kwa sababu kaambiwa akamkamate mbunge wa Ccm
 
Kimtazamo kuna tatizo mahala fulani maana tumeshuhudia mawaziri wengi tu wakitoa amri hadharani na watu wanakamatwa na kuwekwa ndani bila kusubiri kupewa barua za maelekezo rasmi. Nahisi Kamanda ana jambo lake, tusubiri muda utaongea.
Hapana mkuu wanacheza na nyakati.
Huyu Rais wa sasa ukifanya maovu hawezi kutetea ujinga,ni mtu wa imani na pia anapenda demokrasia.
Kwa hiyo ukiyakanyaga hilo ni lako mzee baba
 
Binafsi mm nampongeza Sana kamanda Siro. Ametumia hekima Sana. Mambo ya kuruhusu Jeshi lake litumike Kama roboti si mazuri. Ila Kama chanjo ingetenegezwa Tanzania arafu Gwajima akaipinga apo kidogo ni shida.

Hivi kweli siku alizotoa Raisi Samia kwa wataalam wamshauri, wik 3 tu zilitosha kufanya research ya janjo???

Sasa chanjo imeletwa apa tz ata wazir Gwajima hakuwepo kwenye kuitengeneza . So ni suala la kupingana kwa hoja.

Tunafaham kabisa mwanasayansi Hana maneno mengi Zaid sasa huyu wazir Gwajima Jana haikuitendea hakin fani yake.

Alitakiwa amjibu Mchungaji kwa proof na badae ndo aagize kukamatwa. Badala yake anamjibu kimipasho, mala kufufua Amina Chifupa, mala mkono wa baunsa, mala mbunge n.k.

Yaan hiz ni hoja zetu wengine wa mtaani, yeye mwanasayansi hakupaswa kufanya hivi. Na sasa kwa kusema hivyo ndo kwanza Mchungaji anatafuta fimbo nyingine zaidi.
 
Angekuwa amepewa amri na jiwe unadhani angeongea suala la barua ambacho angefanya angemfuata jiwe kama kuna nyongeza ya kumshughulikia mhusika
 
Herehoa!

Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata.
Na ule usemi amri ahadi na maelekezo ya rais ni sawa sheria inakuaje kwa maelezo yako. Na je rais akielekeza kufanyika kazi maalum kwa mtemzi wake ni lazima kwa maandishi?
 
Kukosea ni jambo baya, kukosea nje ya utaratibu ni jambo la hovyo kabisa
 
Mbona alishaharibu sana siku zilizopita, kama ameshtuka leo basi amechelewa, Sirro akili humrudia akifanya kazi za CCM, lakini akitumwa kukamata upinzani hasa CHADEMA akili zake hufyatuka kabisa.
Ok nani aliyeamuru wananchi waliokuwa kanisani Kawekamo Mwanza wavamiwe na polisi na kukamatwa?

Ni kiongozi gani wa kanisa aliwasiliana na kanisa la katoliki kwamba kulikuwa na vurugu kanisani hivyo vyombo vya usalama vilihitajika kwa haraka sana kuja kudhibiti wafanya fujo?

Kuna barua yoyote iliyotolewa kwa jeshi la polisi kwenda kukamata waumini kanisani huko Kawekamo Mwanza?
 
Watu wa chadema wanakuaga na Raha sana utazan wao ndo wanaoongoza nchi.
Your browser is not able to display this video.
 
Watu wa chadema wanakuaga na Raha sana utazan wao ndo wanaoongoza nchi. View attachment 1898418
Kuongoza kuna hati miliki kwa baadhi ya watu na wengine hapana? Wanafurahi ndani ya nchi yao. Kumshinda audui ni kumwonesha kwamba pamoja na maudhi yote anayokufanyia akitarajia utakasirika na kukata tamaa lakini akaona unaendelea kudenda na maisha ni ushahidi wa kudharau lakini kufurahia matendo yenu na harakati zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…