IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

Ndugu wanaojiita wafugaji ni wazurulaji in general

Mkulima hahami Ila wao wanatangatanga, Leo Tanga kesho utawakuta Turiani, wametokea Bwawani

Serikali zote zimeshajaribu kutafuta suluhisho, kutag mifugo, Wakagomea katu katu kwani, ingejulikana mifugo ya Nani imeenda kufanya tukio.
Upo sahihi...mara nyingi wafugaji ndio chanzo cha migogoro sababu ya maisha ya kijima wanayoishi..
 
Kwahiyo hao waliofanya mauwaji ya watu 6 watajisalimisha polisi?
Kama ni maasai kujisalimisha ni ngumu mifugo inaya thamani sana kuliko mtu. Ukitakacwafe kwa njaa wao na wewe. Hili ni muhimu lifahamike. Wapewe maeneo yao ya kuchungia kwenye majani na maji. Mifugo yao ndio maisha yao. SIJAELEWEKA? Zamani walikuwa wezi sana wa mifugo nadhani wamepunguza sana wizi. LILILOBAKI NI MAENEO YAWEKEWE MIPAKA INAYOELEWEKA na kuonekana ili wasiingilie wakulima.kuna maasai wa porini na wakawaida kama waarusha au wakwavi. Wale wa porini wakifanya uhalifu huku ni vigumu kuwakamata. Ni wasiri mno. Wenyewe kwa wenyewe hata wakipigana, kuibiana na hata kuuana wanapeana adhabucwenyewe mpaka saa inginecukoo utahusikackulipa faini. Na wanlipa hasa kama kuna mauaji ya wao kwa wao.
 
Back
Top Bottom