Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda kuvaa hayati Yassir Arafat).
Askari wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU).
Nadhani haileti picha nzuri kwa raia lakini hata wageni waliopo nchini mwetu.
IGP tunaomba uwapige stop mara moja askari wako kufanya hivyo