IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

Kwa hiyo Watanzania waendelee kuuwawa tu sio boss halafu hatufanyi chochote ?
Tatizo ni kwamba likitatuliwa bila kutumia hekima hili swala litatugharimu(sote wawili Tz na Moz),haiyumkini ikawagharimu kizazi kijacho Pia.
 
Hahahaha, Chini ya Sirro, hakuna ujambazi wala gaidi anayeichezea Tanzania, kwa Amani Tanzania ni namba 7 Africa, Kenya ni namba ngapi?, nikumbushe Tafadhali sana.
Acha ushabik wa kimaandazi, hamna cha kujisifia hapo. Tajiri wenu alitekwa karibu na police station na IGP wenu Sirro hakuwa na idea. Kuweni makini sana, tayari kuna sleeper cells za kiagaidi ndani ya Tz. Siasa za fisiemu kwenye masuala ya ugaidi ni upuuzi flani wa hali ya juu.
 
Jinga wewe, unadhani Tanzania ni Kenya?, pelekeni ujinga wenu huko, nani kakuambia Collussium Hotel ipo karibu na kituo cha POLISI, kujifanya wajuaji wakati hamjui lolote kila siku nchi yenu inazidi kuporomoka katika viwango vya usalama duniani, ninyi ni wajinga sana, badala ya kuja kujifunza ili angalau na ninyi muwe na usalama nchini kwenu, bado mnaendekeza kiburi cha kijinga.
 
I'll advice your nation not to get in this trap of entering Mozambique. This is the same trap All shaabab did with Kenya, they were abducting and killing people at the boarder alafu wanakimbia Somalia which is their battling ground. The day Kenya step their foot in Somalia is the day everything changed, Remember Somalia and Mozambique are the same in terms of laws, they are both anarchy.
Ni Raia wetu, tukisema tukae tu, unafikiri italeta hisia gani kwa wananchi kuona serikali yao imekaa tu huku raia wake wanauliwa? Kwa vile wapo Msumbiji, wacha wafatwe tu wakumutwe kisawasawa, mana uko wamepita njia nako si kwamba ni main base.
 
Jinga wewe, unadhani Tanzania ni Kenya?, pelekeni ujinga wenu huko, nani kakuambia Collussium Hotel ipo karibu na kituo cha POLISI, kujifanya wajuaji wakati hamjui lolote kila siku nchi yenu inazidi kuporomoka katika viwango vya usalama duniani, ninyi ni wajinga sana, badala ya kuja kujifunza ili angalau na ninyi muwe na usalama nchini kwenu, bado mnaendekeza kiburi cha kijinga.
Usilie boss, vitengo vyenu vya usalama ni vya kienyeji sana. Mbaya zaidi ni kwamba vimejikita kwenye ushabiki wa kisiasa. Policcm.
 
Bwahahaaa...hawa ni akina nani eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona wacheka? hawa ni wanajeshi na wanajeshi wazuri ni tu vile serikali haiwapatii support lakini wanajeshi wa Kenya nawaaminia.
 
Buda...kula vako tu...usituletee ushenee hku..unakaa km ka nguna flani hv ....si heri ujidu tu kuliko ubaki uki rombosea wasee hku...
Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.

My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
 
Soma aircraft registration number IGP wa Mozambique anayotua nayo Mtwara ndio utajua kama amejileta au ameletwa.
Kwahiyo unachotaka kutuambia ni kwamba, IGP wa Tanzania ana mamlaka ya kumuita Mkuu wa Polisi wa nchi nyingine, for this case, wa Msumbiji?! Kama alivyosema Waziri wa Kaskazini, una ushabiki wa ki-Lumumba manake Sirro hana mamlaka ya kumuita hata OCD wa nchi nyingine let alone IGP wa nchi husika!
 
Aliesemaga wakenya shuleni wanaenda tu kusoma kingereza tena cha kuunga unga kweli hakukosea [emoji23][emoji23][emoji23] akili fupi balaa
Kiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupu
 
When the debate is lost, slander becomes the tool of the loser.
We dont need such characters (tribal minds) like you in Kenya lets all come together irregardless of tribal affiliations and strive to build a prosperous and united Kenya. Dont you want that for your children or grandchildren? Am even starting to think whether you are a Kenyan.
A Kenyan from Mombasa. Don't waste your precious time trying to prove that you're one.
Najua wewe ni mkenya
 
Yeah essay niemeandika sana tu, hampendi kuambiwa kweli
Kiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupu
 
Back
Top Bottom