DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Sasa hasipoweka chumvi, uzi wake utasomwa na nani ?Mleta thread kaongeza chumvi balaa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hasipoweka chumvi, uzi wake utasomwa na nani ?Mleta thread kaongeza chumvi balaa...
Tatizo ni kwamba likitatuliwa bila kutumia hekima hili swala litatugharimu(sote wawili Tz na Moz),haiyumkini ikawagharimu kizazi kijacho Pia.Kwa hiyo Watanzania waendelee kuuwawa tu sio boss halafu hatufanyi chochote ?
Acha ushabik wa kimaandazi, hamna cha kujisifia hapo. Tajiri wenu alitekwa karibu na police station na IGP wenu Sirro hakuwa na idea. Kuweni makini sana, tayari kuna sleeper cells za kiagaidi ndani ya Tz. Siasa za fisiemu kwenye masuala ya ugaidi ni upuuzi flani wa hali ya juu.Hahahaha, Chini ya Sirro, hakuna ujambazi wala gaidi anayeichezea Tanzania, kwa Amani Tanzania ni namba 7 Africa, Kenya ni namba ngapi?, nikumbushe Tafadhali sana.
Jinga wewe, unadhani Tanzania ni Kenya?, pelekeni ujinga wenu huko, nani kakuambia Collussium Hotel ipo karibu na kituo cha POLISI, kujifanya wajuaji wakati hamjui lolote kila siku nchi yenu inazidi kuporomoka katika viwango vya usalama duniani, ninyi ni wajinga sana, badala ya kuja kujifunza ili angalau na ninyi muwe na usalama nchini kwenu, bado mnaendekeza kiburi cha kijinga.Acha ushabik wa kimaandazi, hamna cha kujisifia hapo. Tajiri wenu alitekwa karibu na police station na IGP wenu Sirro hakuwa na idea. Kuweni makini sana, tayari kuna sleeper cells za kiagaidi ndani ya Tz. Siasa za fisiemu kwenye masuala ya ugaidi ni upuuzi flani wa hali ya juu.
Habari nzuri sana
Poleni wafiwa. R.I.P wananchi wetu
Ni Raia wetu, tukisema tukae tu, unafikiri italeta hisia gani kwa wananchi kuona serikali yao imekaa tu huku raia wake wanauliwa? Kwa vile wapo Msumbiji, wacha wafatwe tu wakumutwe kisawasawa, mana uko wamepita njia nako si kwamba ni main base.I'll advice your nation not to get in this trap of entering Mozambique. This is the same trap All shaabab did with Kenya, they were abducting and killing people at the boarder alafu wanakimbia Somalia which is their battling ground. The day Kenya step their foot in Somalia is the day everything changed, Remember Somalia and Mozambique are the same in terms of laws, they are both anarchy.
Ni jinga la CCM hilo Mkuu.Wewe jamaa upo kishabiki sana.... Hadi unakera...
Usilie boss, vitengo vyenu vya usalama ni vya kienyeji sana. Mbaya zaidi ni kwamba vimejikita kwenye ushabiki wa kisiasa. Policcm.Jinga wewe, unadhani Tanzania ni Kenya?, pelekeni ujinga wenu huko, nani kakuambia Collussium Hotel ipo karibu na kituo cha POLISI, kujifanya wajuaji wakati hamjui lolote kila siku nchi yenu inazidi kuporomoka katika viwango vya usalama duniani, ninyi ni wajinga sana, badala ya kuja kujifunza ili angalau na ninyi muwe na usalama nchini kwenu, bado mnaendekeza kiburi cha kijinga.
Mbona wacheka? hawa ni wanajeshi na wanajeshi wazuri ni tu vile serikali haiwapatii support lakini wanajeshi wa Kenya nawaaminia.
Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.
My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
Kingereza chenyewe umebugi, rudi kwenye lugha ya kwenu Tandale.
Kwahiyo unachotaka kutuambia ni kwamba, IGP wa Tanzania ana mamlaka ya kumuita Mkuu wa Polisi wa nchi nyingine, for this case, wa Msumbiji?! Kama alivyosema Waziri wa Kaskazini, una ushabiki wa ki-Lumumba manake Sirro hana mamlaka ya kumuita hata OCD wa nchi nyingine let alone IGP wa nchi husika!Soma aircraft registration number IGP wa Mozambique anayotua nayo Mtwara ndio utajua kama amejileta au ameletwa.
Kiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupuAliesemaga wakenya shuleni wanaenda tu kusoma kingereza tena cha kuunga unga kweli hakukosea [emoji23][emoji23][emoji23] akili fupi balaa
kumbe kipimo cha kuwa mkenya ni kingereza duh?Don't pretend to be Kenyan, please rewrite what you have said in English.
A Kenyan from Mombasa. Don't waste your precious time trying to prove that you're one.When the debate is lost, slander becomes the tool of the loser.
We dont need such characters (tribal minds) like you in Kenya lets all come together irregardless of tribal affiliations and strive to build a prosperous and united Kenya. Dont you want that for your children or grandchildren? Am even starting to think whether you are a Kenyan.
Ni nidhamu. Watanzania utawajua tu kwa maneno yao machafu.kumbe kipimo cha kuwa mkenya ni kingereza duh?
Best comment ever.imani kwa jeshi la polisi sio hisani kwao,unaweza acha tu kuwaamini na kazi zikaendelea kama kawaida.
Kiingereza cha kuungaunga? Umewahi andika essay shuleni?Jingatype. Hebu chukua composition ya mtoto wa class 4 Kenya na ya scholar wa UDSM ulinganishe. Aibu tupu
Ukweli upi sasa? Piga picha essay moja uiweke hapaYeah essay niemeandika sana tu, hampendi kuambiwa kweli
Ukweli upi sasa? Piga picha essay moja uiweke hapa