IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

IGP wa Msumbiji aitwa haraka Tanzania na kuachia jeshi la police Tanzania kuingia Msumbiji kushughulikia wauwaji wa Watanzania 9

Shida yetu sisi kama wakenya ni kudhania ya kwamba kuongea na kuandika kwa kingereza ni ishara ya uerevu hiyo ndio hunikera sana na wakenya wenzangu.

My brother you need to understand that speaking in english is not a sign of intelligence, are we together? The british really did a number on us and that is why i will always say that pysical colonialism ended in Kenya but mental colonialism is still with us you my brother are a mental slave.
Alipokwambia uaandike kwenye kingereza hakukusudia kujua kiwango chako cha uerevu ila lilikua kama hakikisho kua wewe ni mkenya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Protect the border but don't follow them into their trap.
Ni Raia wetu, tukisema tukae tu, unafikiri italeta hisia gani kwa wananchi kuona serikali yao imekaa tu huku raia wake wanauliwa? Kwa vile wapo Msumbiji, wacha wafatwe tu wakumutwe kisawasawa, mana uko wamepita njia nako si kwamba ni main base.
 
IGP Sirro wa Tanzania amemuita haraka IGP wa Mozambique na kufika Mtwara jana na kuzungumza kuhusu mauaji ya wakulima 9 wa kitanzania waliokua Mozambique kwa shughuli za kilimo kisha kuuawa na kundi la kigaidi


IGP Sirro ametaka ufunguzi wa mpaka kati ya Tanzania na Mozambique kijeshi, hivyo sasa Tanzania itaingiza jeshi lake la police kwenda Mozambique kuwasaka hao wahuni, jeshi shupavu la police la Tanzania tayari lilishatuma majasusi wake Mozambique undercover na hivi sasa tayari wamo Mozambique kuanza show.

Itakumbukwa hawa wauaji ndio wale waliokua kwenye mapango ya amboni kule Tanga na Kibiti huko Pwani, waliuwawa kama kuku na jeshi shupavu na hodari la police, sasa wabaki kuvizia Watanzania waishio nchini Mozambique ili kulipa kisasi, Tanzania Police Force halitawaacha salama kamwe.




Asante kwa taarifa.
 
Alipokwambia uaandike kwenye kingereza hakukusudia kujua kiwango chako cha uerevu ila lilikua kama hakikisho kua wewe ni mkenya.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ukweli lakini wakenya wengi hudhani ya kwamba kuongea kingereza humanisha umeerevuka na wewe ni high class na huo ni uwongo mtupu. Wafaa kumsikiliza mtu kwanza kisha you come to a conclusion kama huyu anayeongea akona akili timamu ama kuropoka tu.
 
Back
Top Bottom