IGP Wambura afanya mabadiliko mengine ya Makamanda wa Polisi

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Benjamini Kuzaga.

Pia, IGP Wambura amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) George Katabazi kutoka Makao makuu ya Upelelezi Dodoma kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Benjamini Kuzaga aliyehamishiwa
kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya.

IGP Wambura amesema Mabadiliko haya ambayo yalianza tarehe 08.09.2022 ni katika kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
 
Matei wale watu uliowakamata Mbeya kwa kisingizio cha uongo cha kusherehekea kifo cha Magufuli ulidhani machozi yao yatapotea bure ?

Sasa nenda kasome magazeti Dodoma huku ukipigwa na vumbi .
 
Siku serikali itapinduka kuwa nyingine tofauti na iliyopo usije ukasingizie walikunukuu vibya kwa sababu ninyi ndio mnatengeneza maadui wenyewe hawatakuacha kamwe weka hii kwenye kumbukumbu zako kwa namna mlivyogeuka kuwa chawa wa wenye visasi.

Je, ikitokea kiongozi fulani mwandamizi serikalini amepiga teke ndoo halafu wakajitokeza watu ama kwa uwazi au kwa uficho wakasherehekea kuanguka kwake utafanya uchawa kwa mamlaka wakamatwe au utakaa kimya?

Kwa kuwa serikali iliyopo inaonekana bayana kufumbia macho visasi ina mwisho wake nayo italipwa kwa kadri walivyotenda kwa wengine iwe wema au ubaya.

Huwezi kuanzisha mpango wa 4 R's kwenye nchi ambayo haikuwa vitani matokeo yake utazalisha vita baridi ya kweli na itakayokuja kuumiza watu bila sababu zozote za msingi.
1. Resilience-gradually recovering from unknown difficulties
2. Reconstruction from the unknown damage
3. Reconciliation/restoration from an unknown friendly relationship break-up
4. Rebuilding a myth demolished dwelling

Ikumbukwe kwamba wanasisa ndio chanzo mzizi wa uharifu wa aina yoyotekwa mantiki hiyo matokeo yake unazalisha 4 D's
1. Deviance of law and engaging with illegal and unethical conduct
2. Distress among the victims of retaliative actions
3. Dysfunction of administrative & social system
4. Danger point with intolerance
 
Wambura mbona aliwakamata na kawa IGP? Bila kusahau mbabe wenu Bavicha, kamanda Ramadhani Kingai aliwapeleka sana na kawa DCI
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Benjamini Kuzaga.

Pia, IGP Wambura amemhamisha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) George Katabazi kutoka Makao makuu ya Upelelezi Dodoma kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara kuchukua nafasi ya Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Benjamini Kuzaga aliyehamishiwa
kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya.

IGP Wambura amesema Mabadiliko haya ambayo yalianza tarehe 08.09.2022 ni katika kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa majukumu ya Jeshi la Polisi.
VP aliwachana live Polisi juzi na kasema ameshaongea na IGP hayo ndio matokeo na sababu Kubwa ni ajali za Mbeya.
 
Wewe ni msamaria mimi ni myahudi sisi hatuchangamani [emoji849][emoji41]
 
Siku serikali itapinduka kuwa nyingine tofauti na iliyopo usije ukasingizie walikunukuu vibya kwa sababu ninyi ndio mnatengeneza maadui wenyewe hawatakuacha kamwe weka hii kwenye kumbukumbu zako kwa namna mlivyogeuka kuwa chawa wa wenye visasi.

Je, ikitokea kiongozi fulani mwandamizi serikalini amepiga teke ndoo halafu wakajitokeza watu ama kwa uwazi au kwa uficho wakasherehekea kuanguka kwake utafanya uchawa kwa mamlaka wakamatwe au utakaa kimya?

Kwa kuwa serikali iliyopo inaonekana bayana kufumbia macho visasi ina mwisho wake nayo italipwa kwa kadri walivyotenda kwa wengine iwe wema au ubaya.

Huwezi kuanzisha mpango wa 4 R's kwenye nchi ambayo haikuwa vitani matokeo yake utazalisha vita baridi ya kweli na itakayokuja kuumiza watu bila sababu zozote za msingi.
1. Resilience-gradually recovering from unknown difficulties
2. Reconstruction from the unknown damage
3. Reconciliation/restoration from an unknown friendly relationship break-up
4. Rebuilding a myth demolished dwelling

Ikumbukwe kwamba wanasisa ndio chanzo mzizi wa uharifu wa aina yoyotekwa mantiki hiyo matokeo yake unazalisha 4 D's
1. Deviance of law and engaging with illegal and unethical conduct
2. Distress among the victims of retaliative actions
3. Dysfunction of administrative & social system
4. Danger point with intolerance
Haya ni madini kwa wenye akili
 
Kwanba nisimchane matei kwa unyama wake au unamaanisha nini ?

NITASEMA KWELI DAIMA FITNA KWANGU MWIKO
 
Back
Top Bottom