IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

Kuandamana ni haki ya kikatiba.

Ukiwazuia wananchi kuandamana wazi, unawachochea wapange kuiangusha serikali kwa nguvu kupitia vikao vya kificho.

Usifikiri haya mataifa makubwa kama Uingereza na Marekani wanavyoruhusu maandamano ni wajinga.
 
CDF yuko wapi?
CDF hafanyi kazi sub standard, inawezekana taarifa hii wala haina uzito mkubwa namna hiyo na kwa kufanya hivyo anafanya uchochezi yeye anaingiza akilini mwa wasio na taarifa hofu na mashaka, nilitamani hii taarifa isipate nafasi hata katika vyombo vya habari kwa sababu inaleta tahariki zisizo za lazima.
 
Boda boda tu wakiamua kuunga mwenge hadi kituoni hamna askari atabakia salama. Yani wakiamua ni undava tutaokota maiti tupu vituoni.
 
Kumbe Samia anataka kupinduliwa halafu hata hamsemi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Raia asiye na silaha aliyebeba Bango anapinduaje Serikali,

Tatizo la viongozi wanaziba masikio, hawataki kusikia raia wasemacho.

Acheni kuuza bandari wananchi tutatulia.
 
Alichonifurahisha aliposema tz ni nchi ya AMANI, hakusema ni nchi inayofuata HAKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…