IGP Wambura awaonya vikali wanaotaka kuandamana, asema huo ni uhaini akitaka "Wakome" na Wasitishe matamshi yao ya Kichochezi...

1 Wakorintho 11:5 Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
Yap hii aibu anayotia huyu mvaa ushungi kwa taifa ni zaidi ya hii ya kuhutubu.
 
Madaraka ya kulevya kutishia wananchi. Uhaini gani umefanywa hapo? Kwanza hawezi kuthibitisha chochote kuhusiana na madai y uhaini huu ni ukosefu wa weledi katika kazi za kikachero
 
Sasa kama hujasikia umejibu nini? Hewa?
Hivi ulishawahi kuona au kusikia wapi raia wa kawaida anampindua raisi?

Hyo statement eti kuna watu wamepanga kumpindua rais ndyo hewa yenyewe,sasa nikuulize wewè hewa huwa inajibiwa?
 
Hivi ulishawahi kuona au kusikia wapi raia wa kawaida anampindua raisi?

Hyo statement eti kuna watu wamepanga kumpindua rais ndyo hewa yenyewe,sasa nikuulize wewè hewa huwa inajibiwa?
Kamuulize Wambura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…