GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Umeshaambiwa nchi iko shwaribSativa ni moja kati mil 60Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako...
Tega sikio sasa BBC Dira ya Dunia usikie huo Upuuzi wake. Yaani hata Aibu hana kwa hii Kauli ya Uwongo na Kinafiki aliyoitoa.Hii ni dharau Kwa rais.yaani watu wanatekwa mchana kweupe halafu IGP anasema Nchi Iko shwari?Ningekuwa ndiyo rais ningechukua hatua muda huohuo na kumfuta kazi.
Idiot.Umeshaambiwa nchi iko shwaribSativa ni moja....kati mil 60
Idiot ni Wsmbura ba weweIdiot.
Hata Simba kwenye zizi la ng'ombe 1000 huanza na kula ng'ombe mmoja,then next,then next kalagabahooooUmeshaambiwa nchi iko shwaribSativa ni moja....kati mil 60
Vipi kama Rais ana husika? Hapo ni mbwa kala mbwa. Haiwezi kusemwa moja kwa moja ila kuna uwezekano. Kwanini hakemei kwa nguvu zote?Hii ni dharau Kwa rais.yaani watu wanatekwa mchana kweupe halafu IGP anasema Nchi Iko shwari?Ningekuwa ndiyo rais ningechukua hatua muda huohuo na kumfuta kazi.
Form iv wambura failure utegemee nnNasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.
Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa Utendaji wako uliojaa Dhambi na Damu za Watanzania walioteswa na Kuuwawa na Askari Polisi wako.
Boma liko shwariii.......Hata Simba kwenye zizi la ng'ombe 1000 huanza na kula ng'ombe mmoja,then next,then next kalagabahoooo
Huyu IGP ni muuaji, Hali ni mbaya sana, hawezi kukiri makosa yanayofanywa kwa maagizo yakeNasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.
Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa Utendaji wako uliojaa Dhambi na Damu za Watanzania walioteswa na Kuuwawa na Askari Polisi wako.
Kumbe ni Form Four Failure Mkuu? Ndiyo maana.Form iv wambura failure utegemee nn
Idiot.Boma liko shwariii.......
Nchi iko shwari kwenu nyie mnaofurahishwa na mauaji yanayofanywa na dola la Bibi Gagula la kizimkaziUmeshaambiwa nchi iko shwaribSativa ni moja....kati mil 60
Naunga mkono Hoja kwa 100% Mkuu wangu.Mimi naona kifanyike kisasi kwa watoto wao pendwa , yaani familia zao watawala ziguswe makusudi kabisa, ufumbuzi utapatikana.
Waanzie na huyu huyu ....