IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

Itumike mbinu ya kugongesha magari yao kwa roli za mchanga( mende).
Malizeni hao kwa ajali za makusudi, najua kutumia silaha ni vigumu, patisheni ajali hao nao waishe tutaelewana tu
 
Vipi kama Rais ana husika? Hapo ni mbwa kala mbwa. Haiwezi kusemwa moja kwa moja ila kuna uwezekano. Kwanini hakemei kwa nguvu zote?

Kwamba hana mamlaka hayo au ni nini? Think twice
SIAMINI KAMA RAIS ANAHUSIKA ILA KAMA UKIMYA UTAENDELEA...............
 
Nchi ni serkali ya CCM na magenge yao ya unyang'anyi na yapo salama yanalindwa kwa damu na mali. Yupo sahih.
 
Kama mtu ameshindwa kuachia ngazi mpaka sasa,unategemea aseme hali sio shwari,ila watu hawana soni
 
Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.

Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa Utendaji wako uliojaa Dhambi na Damu za Watanzania walioteswa na Kuuwawa na Askari Polisi wako.
Kweli Mkuu kisa familia mbili tatu tu nchini zimelala njaa ndiyo useme kuwa hali ya uchumi wa nchi ni mbaya sana isiyo mithilika?
Yeye kwa nafasi yake kama IGP anaongelea Taifa kwa ujumla wake kuwa liko shwari, ila hizo changamoto zilizojitokeza zitashughulikiwa kwa kuwa bado zipo ndani ya uwezo wao wa kiutendaji.
Niliwahi kuamini kuwa wewe ni expert wa duru za kiusalama na kuelewa vile taarifa za hali ya usalama zinatilewa, lakini kwa huu uzi wako nachelea kusema umeniangusha sana.
 
Hivi jana ulivyosema kuwa Mnyika anaogopa hata Panya ulipokuwa pale katika Press Conference ulikuwa unalenga nini?
 
Kweli Mkuu kisa familia mbili tatu tu nchini zimelala njaa ndiyo useme kuwa hali ya uchumi wa nchi ni mbaya sana isiyo mithilika?
Yeye kwa nafasi yake kama IGP anaongelea Taifa kwa ujumla wake kuwa liko shwari, ila hizo changamoto zilizojitokeza zitashughulikiwa kwa kuwa bado zipo ndani ya uwezo wao wa kiutendaji.
Niliwahi kuamini kuwa wewe ni expert wa duru za kiusalama na kuelewa vile taarifa za hali ya usalama zinatilewa, lakini kwa huu uzi wako nachelea kusema umeniangusha sana.
"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."
Dr. Martin Luther King Jr.
 
Back
Top Bottom