Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIAMINI KAMA RAIS ANAHUSIKA ILA KAMA UKIMYA UTAENDELEA...............Vipi kama Rais ana husika? Hapo ni mbwa kala mbwa. Haiwezi kusemwa moja kwa moja ila kuna uwezekano. Kwanini hakemei kwa nguvu zote?
Kwamba hana mamlaka hayo au ni nini? Think twice
LabdaSIAMINI KAMA RAIS ANAHUSIKA ILA KAMA UKIMYA UTAENDELEA...............
Kweli Mkuu kisa familia mbili tatu tu nchini zimelala njaa ndiyo useme kuwa hali ya uchumi wa nchi ni mbaya sana isiyo mithilika?Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako.
Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa Utendaji wako uliojaa Dhambi na Damu za Watanzania walioteswa na Kuuwawa na Askari Polisi wako.
Hivi jana ulivyosema kuwa Mnyika anaogopa hata Panya ulipokuwa pale katika Press Conference ulikuwa unalenga nini?Kweli Mkuu kisa familia mbili tatu tu nchini zimelala njaa ndiyo useme kuwa hali ya uchumi wa nchi ni mbaya sana isiyo mithilika?
Yeye kwa nafasi yake kama IGP anaongelea Taifa kwa ujumla wake kuwa liko shwari, ila hizo changamoto zilizojitokeza zitashughulikiwa kwa kuwa bado zipo ndani ya uwezo wao wa kiutendaji.
Niliwahi kuamini kuwa wewe ni expert wa duru za kiusalama na kuelewa vile taarifa za hali ya usalama zinatilewa, lakini kwa huu uzi wako nachelea kusema umeniangusha sana.
"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."Kweli Mkuu kisa familia mbili tatu tu nchini zimelala njaa ndiyo useme kuwa hali ya uchumi wa nchi ni mbaya sana isiyo mithilika?
Yeye kwa nafasi yake kama IGP anaongelea Taifa kwa ujumla wake kuwa liko shwari, ila hizo changamoto zilizojitokeza zitashughulikiwa kwa kuwa bado zipo ndani ya uwezo wao wa kiutendaji.
Niliwahi kuamini kuwa wewe ni expert wa duru za kiusalama na kuelewa vile taarifa za hali ya usalama zinatilewa, lakini kwa huu uzi wako nachelea kusema umeniangusha sana.
Tukisema hali ya ufaulu nchini imepanda hatumaanishi kuwa hakutakuwa na waliogonga Division 0, ila tunazungumzia ratio ya ufaulu kwa ujumla wake"Injustice somewhere is a threat to justice everywhere."
Dr. Martin Luther King Jr.
Kazi za wanaume hazihitaji wavulanaHivi jana ulivyosema kuwa Mnyika anaogopa hata Panya ulipokuwa pale katika Press Conference ulikuwa unalenga nini?