The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa Polisi Kata kutoka Mikoa ya Dodoma, Tanga, Kinondoni na Temeke yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi.
Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu