The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Huku Tanganyika tuna furaha Abdul Nondo kapatikana mzimaMbona ghafla sana..π€
Kwani kuna nini huko Tanzania...π
Wambura, come to your professionalism! Hakuna kupunguza nguvu, ni kuacha kabisa kutumia nguvu pale ambapo sheria inasema usitumie nguvu. mmekuwa mkivunja shreria kwa kutumia nguvu pale ambapo hakuna sabab!Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa Polisi Kata kutoka Mikoa ya Dodoma, Tanga, Kinondoni na Temeke yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi.
Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu
View attachment 3167436
Huku tunakula urojo na ngisi tuπHuku Tanganyika tuna furaha Abdul Nondo kapatikana mzima
Sijui za huko Kizimkazi?
Nitafutie kiwanja niweke kibanda huko KizimkaziHuku tunakula urojo na ngisi tuπ
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa Polisi Kata kutoka Mikoa ya Dodoma, Tanga, Kinondoni na Temeke yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi.
Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu
"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."Mbona ghafla sana..π€
Kwani kuna nini huko Tanzania...π
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua mafunzo ya siku tano kwa Polisi Kata kutoka Mikoa ya Dodoma, Tanga, Kinondoni na Temeke yanayofanyika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi.
Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu
IGP WA HOVYO HAJAWAHI KUTOKEA TANZANIA