IGP Wambura shughulikia mauaji au upelekwe ubalozini

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu

Huo ushauri wa Rais unafatwa?
 
Huyu bwana hafai hata kdgo sikuona fact gani walichunguza kumteua
 
Ingia kwenye 18 zake ndio utajua kama ni mzuri au ni m baya
 
Back
Top Bottom