Humjui vizuriHuyu ni muoga sana anapelekeshwa hafai kabisa.
Leo nilikuwa naongea na afisa wa polisi mmoja amesema wazi Wambura ni mzigo
Wewe ndio hujui.Humjui vizuri
Huo ushauri wa Rais unafatwa?Kama IGP Wambura ataendelea kufanya vitu kisiasa ni bora apelekwe naye ubalozini. Hatutaki siasa kwenye Polisi. Huko Musoma shughulikia zaidi badala ya kungojea viongozi wa siasa huu ni udhaifu
Hata Mimi nashangaa kwanini hukuteuliwa weweHuyu jamaa hana mvuto katika hiyo nafasi.