- Thread starter
- #21
Kwamba ni maigizo sio 🤔Ajiuzulu kisa vijistori na uzushi wa X
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ni maigizo sio 🤔Ajiuzulu kisa vijistori na uzushi wa X
Wew jamaa kuna muda ni kama akili huwa zinakuja na kusepa. Kama mtu anayetumia dawa so siku akisahau kutumia ndiyo hivyo tena unakuwa kama hiviAjiuzulu kisa vijistori na uzushi wa X
Malipo ni hapa hapa duniani.Wew jamaa kuna muda ni kama akili huwa zinakuja na kusepa. Kama mtu anayetumia dawa so siku akisahau kutumia ndiyo hivyo tena unakuwa kama hivi
Nashangaa kuona tume ya uchaguzi bado wako ofisini baada ya Nape kusanua siri zao.Kujiuzulu ni tabia za kwenye nchi zenye watu.
Inawezekana,Tanzania kujiuzuru ni PhD ya D² ambayo haipatikani popote duniani, wale wanaojiuzuru kwa matakwa yao wenyewe hukute hana hasara yoyote kutokana na familia yake.
Vinginevyo hawa wengine ni ngumu sana sababu wanaona mfumo ulivyo mbovu hivyo ajiuzuru ili iweje na kwa sababu zipi?.
Nchi yetu bado sana kufika hapo kwa kiongozi kufanya madudu au aliye chini yake alafu atoke kirahisi tu!.
Africa.Tanzania Hilo Haliwezekani
Soma reply yangu vizuri uelewe mkuu, hata huyo naibu waziri nimeandika pale nk.Inawezekana,
Mbona juzi tu, Naibu waziri Mambo ya nje kujiuzulu?
Waziri wa Utalii Zenji alijiuzulu majuzi?
Ndugu Wambura ajiuzulu Ili kurudisha Imani Kwa polisi ambayo imekwishapotea.
Aige Kwa IGP mwenzake wa Kenya! na Usalama wa Taifa wa Marekani, wote wamejiuzulu! Ila maccm hayana aibu hata!Tanzania Hilo Haliwezekani
Kwa taarifa yako wakati wa dhalimu magu, huyu IGP ndio alikuwa kiongozi wa watu wasiojulikana. Ni bahati tu huyu mama sio muumini wa moja kwa moja wa udhalimu. Vinginevyo ingekuwa balaa.Salaam,Shalom!!
Kujiuzulu nyadhifa yoyote katika utumishi wa umma,Si lazima utokane na mapungufu binafsi katika ofisi Yako, la hasha, inawezekana kabisa kujiuzulu Kwa makosa ya Walio chini Yako Kwa uwajibikaji wa pamoja,
Mtu anapotea, ndugu wanazunguka vituo vyote vya polisi, polisi wanadai hawajui mtu huyo alipo, ndugu Wanatafuta mortuary zote bila mafanikio, wanaomba msaada kwenye mitandao ya JAMII, kelele zinapigwa, unapita mwezi mzima, ndipo polisi inakiri kuwa imemshikilia mtu huyo.
Sasa ndugu IGP usipojiuzulu na kupisha uchunguzi ya hao wahusika chini Yako Unadhani wananchi watakubali tena kukamatwa na watu wanaojitambuliasha kama askari?
Jiuzulu haraka ndugu IGP, msaidie Mh Rais ajikite na majukumu mengine ipasavyo sio Kila siku teua, tengua, teua tengua, teua tengua teua tengua teua tengua teua tengua,imetosha sasa!!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Karibuni 🙏
Sio hulka yetu.Salaam,Shalom!!

Mbona Mwl Nyerere mzanaki alingatuka?Sio hulka yetu.
Unaposema Si muumini unamaanisha nini ilhali watu wanapotea Yeye akiwa Rais na IGP hawajibiki Wala kuwajibishwa?Kwa taarifa yako wakati wa dhalimu magu, huyu IGP ndio alikuwa kiongozi wa watu wasiojulikana. Ni bahati tu huyu mama sio muumini wa moja kwa moja wa udhalimu. Vinginevyo ingekuwa balaa.
Sio muumini wa moja kwa moja rejea hao, vinginevyo wangepotea wengi zaidi ya hawa. Sehemu kubwa ya huyu mama ni laghai, na muuza nchi, ila kwenye udhalimu hayupo. Hiyo mbinu anaitumia tu maana washauri wanamshauri hivyo, lakini sio kama alivyokuwa dhalimu magu.Unaposema Si muumini unamaanisha nini ilhali watu wanapotea Yeye akiwa Rais na IGP hawajibiki Wala kuwajibishwa?
Kwamba Mbinu hii anatumia sababu tu ya ushauri wa wasaidizi🤔Sio muumini wa moja kwa moja rejea hao, vinginevyo wangepotea wengi zaidi ya hawa. Sehemu kubwa ya huyu mama ni laghai, na muuza nchi, ila kwenye udhalimu hayupo. Hiyo mbinu anaitumia tu maana washauri wanamshauri hivyo, lakini sio kama alivyokuwa dhalimu magu.
Sasa ushauri ni hiari Si shurti!!Vipi asipojiuzuru unachukua hatua ipi?
Sina shaka na nilichokiandika.Kwamba Mbinu hii anatumia sababu tu ya ushauri wa wasaidizi🤔
Hiki ulichoandika unakielewa?