MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilius Wambura ametangaza kukifuta kikosi chote cha wakaguzi wa leseni za magari na watahini wa leseni na kuunda tume ya uchunguzi ili kuchunguza namna kikosi hicho kilivyokuwa kinatoa leseni kutokana na ongezeko la ajali za barabarani ambazo nyingi zimetokana na uzembe wa madereva.
Chanzo: itvtz
Halafu IGP Wambura mbona mwingine aliyefaidika na Kitengo hiki ni Poti wako (Mzanaki Mwenzako ) kabisa ( japo sasa amestaafu) anaishi Jirani kabisa na Jumba Zuri la aliyekuwa Neurologist wa Lugalo Hospital (JWTZ ) Professor Yardon Kohi Mbezi Beach Kona Baa?
Imagine huyu Yeye hakuwa hata na Cheo kikubwa Kivile ila mpaka sasa ana Nyumba Kenda ( Tisa ) Dar es Salaam, Mwanza na Mara (Musoma) Kwao na ameshiriki mno Kupokea Rushwa na Kusaidia Kuratibu Watu kupewa Leseni akishirikiana na Watendaji wa Trafiki pale Stesheni Jirani na Central Police Station.
Hongera kwa haya Maamuzi japo Binafsi naona ni kama vile umechelewa na kama kwa sasa kuna Kitengo cha Police kinachonuka Rushwa isiyojificha ni Trafiki na hawa Watoa hizi Leseni.
Wachunguzwe na Wakamatwe upesi.