IGP Wambura: Wananchi na Polisi si makundi mawili tofauti, sisi ni wamoja

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.

Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.

Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.

IGP yupo sahihi 100%🐒
 
Mh!
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    71.3 KB · Views: 12
Akumulikae mchana usiku atakuchoma. Huyu mtu ana kiburi na madharau sana. Haya sio maneno ya kutamkwa na mtu kama yeye.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.

Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.

Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.

Hatuwezi kuwa wamoja,wakati mnatuua!
 
Hatudanganyiki bora hata aseme police jamii ya ulinzi shirikishi. Lakin hao wa STK ni big NO na hatakuja kutokea hata cku na moja.
 
Back
Top Bottom