Ni swala la muda tu. Damu ya mtu sio damu ya kunguniSheria ifate mkondo wake kama ilivyokuwa wakati wa mauji ya kimbari Rwanda
Tata Wambura , una kazi ngumu sana muraa , maziwa yalikwisha mwagika!Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.
Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.
Utter nonsense. TANPOL wanaua civilians extrajudicially halafu mazafaka bila chembe ya aibu anatuambia police na civilians ni wamoja…Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.
Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.
Order yetu inasema Atek fastNataka nimrembeshee jiwe kamanda Tata.