Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
IGP yupo sahihi 100%🐒Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.
Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.
Mh!Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.
Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.
Hatuwezi kuwa wamoja,wakati mnatuua!Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya usalama inafanikiwa zaidi pale pande hizo mbili zinaposhirikiana kiuchumi na kijamii.
Akizungumza leo Ijumaa, Juni 5, 2026, mkoani Mara wakati akifungua rasmi nyumba mpya za makazi ya askari polisi mkoa wa Tarime-Rorya, IGP Wambura ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa uliooneshwa na wananchi katika mradi huo wa makazi ndio ulioruhusu kupatikana kwa rasilimali za kujenga nyumba hizo za kisasa.
Kufuatia mafanikio hayo ya kiubunifu, mkuu huyo wa jeshi ametoa agizo kwa Makamanda wa Polisi wa mikoa yote nchini kuachana na kasumba ya kusubiri bajeti kuu na badala yake waige mfano wa Tarime-Rorya ili kutatua changamoto za makazi ya askari nchini kote.
ICC ya bavichaa au bawacha?Huyu muuaji ni mmoja ya wanaohitajika ICC
Ya UvccmICC ya bavichaa au bawacha?
Sheria ifate mkondo wake kama ilivyokuwa wakati wa mauji ya kimbari RwandaHuyu muuaji ni mmoja ya wanaohitajika ICC