IGP Wambura: Wananchi na Polisi si makundi mawili tofauti, sisi ni wamoja

Kumbe ameshajua sio wamoja tena ndio maana anasisitiza umoja urudi
 
Tata Wambura , una kazi ngumu sana muraa , maziwa yalikwisha mwagika!
 
Utter nonsense. TANPOL wanaua civilians extrajudicially halafu mazafaka bila chembe ya aibu anatuambia police na civilians ni wamoja…
 
Mimi sio wamoja naomba Aniepushe.

Siwapendi Polisi na Trafic
Nawachukia mno
Sitaki hata kuwaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…