KERO IGP weka jicho lako Central Police Station – Dodoma, kuna shida ya Uwajibikaji

KERO IGP weka jicho lako Central Police Station – Dodoma, kuna shida ya Uwajibikaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Pale Central Police Station ni kwamba hakuna accountability and transparency yaani hakuna uwajibikaji na uwazi kwa baadhi ya Maafisa Polisi wa pale.

Mtu unapeleka kesi ya mtuhumiwa pale na tunajua mtuhimiwa anaweza kupewa dhamana kwasababu mbalimbali lakini unakuta anapewa dhamana ndio bila ya wewe kushirikisha chochote kile mwisho wa siku unakuta mtuhumiwa anatoka moja kwa moja na unashangaa hiyo kesi ndio inaisha kinamna.

Hivyo ni kwamba pale baadhi ya Maafisa wanapokea chochote ili kesi zimalizike chinichini.
 
Back
Top Bottom