IGP wewe ni mzoefu katika hiki chombo sasa ni wakati wa kutumia weledi japo kuna shinikizo kubwa

CCM wanataka kumponza Mzee wa watu badala ya yeye kupumzika na wajukuu nyumbani aanze safari za Uholanzi..
 
Nadhani nayeye anajua kilichopo mbele yake hivyo kubagazwa na wazungu hatopendelea!
 
Busara ikitumika yote yatapita kwa upepo!
 
Back
Top Bottom