Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wait and see,
helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
CCM hata wakifanikiwa kurudisha hili jimbo watakuwa wamekoma kuidharua chadema. Nadhani sasa hivi wataanza kujiona wao ndo wapinzani na chadema ndo wanatawala maana wamechezeshwa kiduku mpaka viuno vikachemka.
CDM hata wakishindwa Igunga bado watakuwa wametoa somo zito kwa magamba na hawatakaa waongee tena mambo ya kujivua gamba na Nape anaweza kuachishwa kazi maana yeye na mwenyekiti wake wamwsababisha matatitozo makubwa.
Nadhani washabiki wa CDM itabidi kujipongeza kwa kuwacheka sana magamba hatakama watashinda maana kijasho kimewatoka sawasawa.. Sasa hivi ni heshima kwa makamanda.
Kweli sasa hvi kuwa shabiki wa cdm ni raha tupu maana cdm sasa ni chama kubwa imejaa vipaji kama bacelona!
Wewe ndiyo bure kabisa afadhali yule aliyesema Magufuli ni msukuma.hivii kati ya hawa wagombea ni yupi anaonekana kuwa genuine na ana suport ya kutekeleza na kusukuma maendeleo ya wana nzega?
Ni msukuma kule biharamulo wamejazana.Hakuna alieniambia ila yeye na mke wake mwl Pombe ninawafahamu toka sengerema
Kwa hiyo ikitua nayo unaianzishia thread duh.....Taarifa nilizozipata sasa hivi Helkopta ya CUF ipo uwanja wa JK Nyerere kwa kuondoka kesho Asubuhi kuelekea Igunga.
Ni msukuma kule biharamulo wamejazana.Hakuna alieniambia ila yeye na mke wake mwl Pombe ninawafahamu toka sengerema
HIVI SI CCM WALIOWAHI KUBEZA KWA CHADEMA KUTUMIA CHOPA!!!??Sasa wamegudua kwamba CHADEMA wanaona mbali na wanamikakati ya huhakika wanafata nyayo zao wote wanafuata nyayo za CHADEMA hii inaonesha nani anapasha kuongoza.helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
CCM hata wakifanikiwa kurudisha hili jimbo watakuwa wamekoma kuidharua chadema. Nadhani sasa hivi wataanza kujiona wao ndo wapinzani na chadema ndo wanatawala maana wamechezeshwa kiduku mpaka viuno vikachemka.
CDM hata wakishindwa Igunga bado watakuwa wametoa somo zito kwa magamba na hawatakaa waongee tena mambo ya kujivua gamba na Nape anaweza kuachishwa kazi maana yeye na mwenyekiti wake wamwsababisha matatitozo makubwa.
Nadhani washabiki wa CDM itabidi kujipongeza kwa kuwacheka sana magamba hatakama watashinda maana kijasho kimewatoka sawasawa.. Sasa hivi ni heshima kwa makamanda.
Kweli sasa hvi kuwa shabiki wa cdm ni raha tupu maana cdm sasa ni chama kubwa imejaa vipaji kama bacelona!
Taarifa nilizozipata sasa hivi Helkopta ya CUF ipo uwanja wa JK Nyerere kwa kuondoka kesho Asubuhi kuelekea Igunga.
msumbwa ni msukuma tu,si ndio wadakama hao?sijui mzinza,msumbwa hao ni wasukuma tu by naturemwanzo alikwa mwl wa sengerema secondary ila yeye kwa kabila ni msumbwa
CCM Watanzani wa leo sio wa mwaka 1983,wala maindi ya YANGA !.Tatizo pia mpo kama Garbo(MNANGANGANIA WAKATI AMWEZI KAZI).Ata kama mtakuja na rockets.we hate you kaeni pembeni tuachieni Tanzania yetu.ATUDANGANYIKI NA HELCOPTA WALA TSHIRT...yes Tanzania bila CCM inawezekana.sera mbovu za CCM ndo chanzo cha umaskini wa mtanzania.CCM ndie mchawi wetu.TUNA GESI MPAKA PALE TANESCO UBUNGO IWEJE MFUNGE MAJENERETA YA MAFUTA? CCM NI VIBAKA WA MALI ZA WATANZANIA.Mungu awachome wote,na laani iwe kwenu na watoto wa wajukuu zenu kwa kuwadhurumu WATANGANYIKAhelkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.
kuongea kisukuma si lazima uwe msukuma ni kama vile kuongea kiingereza si lazima uwe mwingereza! cha muhimu ni kuweza kuzungumza lugha husika licha ya kuwa si lugha yako.nani alikwambia magufuli ni msukuma?
Siku nyingine usidanganye hadi sasa hizo helkopita hazijafika Igunga.helkopta 2 za chama cha mapinduzi zimetua hapa igunga zikiwa na January Makamba na John pombe Magufuli.