Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION

  • Total voters
    93
  • Poll closed .
<br />
<br />
Unaweza kufafanua hata kwa uchache mkandara?Haya makosa ambayo cdm wanayafanya mara kwa mara ni yapi?
Unakuja yaona baada ya uchaguzi.. hapa sii mahala pake na nina hakika viongozi wa CDM wanalijua hili..
 
Utabiri wangu (mtanisamehe)... Igunga itarudi mikononi mwa CCM au CUF.
CDM bado hawajatambua makosa wanayofanya mara kwa mara..
Kweli wewe mtabiri hata muda wa kurudisha fomu haujaisha umeshaona kosa je hawana sifa kwa sababu ndilo kosa unaloweza kuliona kwa sasa maana hata kampeni hawajaanza.
 
Ndio maana nilisema utabiri wangu sasa unachotaka kuuliza hata sikielewi.
Kila mtu ana utabiri wake hata mimi ninao wangu lakini kama sina sababu ya kuelezea kwanini nabashiri hivyo sina maana kuleta kwenye jamvi unless niseme kwa sababu 1, 2, 3 otherwise it is a crap.
 
Kila mtu ana utabiri wake hata mimi ninao wangu lakini kama sina sababu ya kuelezea kwanini nabashiri hivyo sina maana kuleta kwenye jamvi unless niseme kwa sababu 1, 2, 3 otherwise it is a crap.
Kwa hiyo ulichoandika wewe hapo juu ni crap? kwani nini watu mnakuwa na Jazba kiasi hiki.. hamtaki kusikia CDM ikitolewa nje mtu akiandika CCM itashindwa bila hata kusema sababu mnaikubali lakini isiwe CDM..Ama kweli chama kimeingiliwa.
 
Igunga wanataka Mwislamu tu, hawataki Mkristo. Hivi majority ya watu wa Igunga ni waislamu??

Acha upotoshaji wewe, Charles Kabeho(RIP) predecessor of RA was a muslim?, huu ni upotoshaji wa kipuuzi kabisa.

Ni lini watu tutaacha kufikiria kwa misingi ya udini, ukabila na ukanda na kuangalia uchapakazi wa mtazania?. Hii dhana ndiyo inayoitafuna nchi leo hii, watu wanashindwa kuongoza wakiambiwa wanatumia maamuma kupotosha na kusingizia kwa kuwa ni wa dini fulani.
 
Kwa hiyo ulichoandika wewe hapo juu ni crap? kwani nini watu mnakuwa na Jazba kiasi hiki.. hamtaki kusikia CDM ikitolewa nje mtu akiandika CCM itashindwa bila hata kusema sababu mnaikubali lakini isiwe CDM..Ama kweli chama kimeingiliwa.
Hakuna mwenye jaziba hapa au ndicho ulilpanga kusema CDM wana jaziba, mimi nimekuuliza una sababu za utabiri wako sasa mambo ya jaziba yametoka wapi tena. I don't care whether CCM CDM SAU ishinde lakini uje na sababu au unasubiri support ya watu you have to support yourself.
 
Kweli wewe mtabiri hata muda wa kurudisha fomu haujaisha umeshaona kosa je hawana sifa kwa sababu ndilo kosa unaloweza kuliona kwa sasa maana hata kampeni hawajaanza.
Hata sijui tunabishana kitu gani kama ulielewa hivi toka mwanzo, unless nayo ilikuwa crap..
 
only time will tell.. ila jimbo nadhani ni la CCM au CUF! CDM watajitahidi kama wakisimamisha mwenyeji wa pale.. mwana igunga
 
Ntakuwa na amani kama wapinzani watachukua ili iwe mwanzo mzuri kuelekea 2015
 
Cuf ndio mshindi kule moja ya sera za kuchaguliwa wamewambia hata chadema waweke mmmmmmms watawachagua kwa hiyo list ya chadi na matapishi ya kina erasto tumbo sijui sasa huyu tumbo ameshindwa kufnya la maana si awaachie wenzake wakajaribu jamani
 
Hata sijui tunabishana kitu gani kama ulielewa hivi toka mwanzo, unless nayo ilikuwa crap..
Tunachotofautiana ni wewe kuja na utabiri bila sababu hata shehe yahaya alikuwa natuambia sababu na dalili za utabiri wake.
 
Tunachotofautiana ni wewe kuja na utabiri bila sababu hata shehe yahaya alikuwa natuambia sababu na dalili za utabiri wake.
Umeshinda wewe, na bado nakwambia Chadema hawatashinda Igunga na ubani naweka.. chukia, lia kisha nenda kanywe maji ukalale.. Mimi sina ushabiki wa chama bali nazungumzia hali halisi.

Na unachotaka wewe kukijua sintakwambia hata kama wewe ni Heche!
 
Cuf ndio mshindi kule moja ya sera za kuchaguliwa wamewambia hata chadema waweke mmmmmmms watawachagua kwa hiyo list ya chadi na matapishi ya kina erasto tumbo sijui sasa huyu tumbo ameshindwa kufnya la maana si awaachie wenzake wakajaribu jamani
Kina nani wenzake.
 
Umeshinda wewe na bado nakwambia Chadema hawatashinda Igunga na ubani naweka.. chukia, lia kisha nenda kanywe maji ukalale.. Mimi sina ushabiki wa chama bali nazungumzia hali halisi. Na unachotaka wewe kujijua sintakwambia hata kama wewe ni Heche!
Who said Chadema watashinda????? kama si wewe kuja na utabiri wako baada ya post mbili ukaanza kusema mara CDM wana jazba mara unaweka ubani what for, kaa na utabiri wako kwani nani alikuomba.
 
Who said Chadema watashinda????? kama si wewe kuja na utabiri wako baada ya post mbili ukaanza kusema mara CDM wana jazba mara unaweka ubani what for and who cares anyway.
Definitly YOU na ndio maana unataka kujua! watu woote wasiulize isipokuwa wewe na umekalia hadi jasho la kwapa..
 
Back
Top Bottom