Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION

  • Total voters
    93
  • Poll closed .
SOBY, CCM KWELI NIMEHAMIN HAMNA KITU, BONGO LALA

HIVI 57% +32% + 18% (CCM + CHADEMA + CUF) = 107% bila hata hiyo +/- 5%.

SOBY UNAELEWA MAANA YA PERCENT (%).?????. PERCENT JUMLA LAZIMA IWE 100%.

AU UNAIMANISHA UMEJUMLISHA NA ZILE WA KUCHAKACHUA?? ZILIZOPO NZEGA
NA FAIZAFOXY YOUR THE SECOND KUCHANGIA HATA UJA TAMBUA. MMENIANGUSHA
Hizo ni pamoja na kura za Maruhani
 
Kujumlisha % nimefundishwa nikiwa darasa la 4.
Big UP SOBY unajua kujumlisha
HIVI 57% +32% + 18% (CCM + CHADEMA + CUF) +(+-)5= +_107%
 
Hii poll imekosewa. mimi nawapa:
CCM 75%
CUF 19%
Chadema 2%
Zilizoharibika 4%

Nna uhakika CHADEMA watapata kura kidogo ya zilizo-haribika.
Sis. Huwa mara nyingi unaonekana unachemka kwa sababu ya kujaza chuki,ushabiiki moyoni.Vinginevyo huwa napenda sana reasoing yako? Tatizo tu huwa huchelewi kuelemewa na hali tabia ya moyo wako na hapo sasa hata michango yako inapokuwa ya hovyo.

Lakini kwa upeo wako huo ukitanguliza mapenzi ya nchi yako mbele ya yale ya chama basi wengi watafaidika na hiyo hazina uliyonayo.
 
SOBY, CCM KWELI NIMEHAMIN HAMNA KITU, BONGO LALA

HIVI 57% +32% + 18% (CCM + CHADEMA + CUF) = 107% bila hata hiyo +/- 5%.

SOBY UNAELEWA MAANA YA PERCENT (%).?????. PERCENT JUMLA LAZIMA IWE 100%.

AU UNAIMANISHA UMEJUMLISHA NA ZILE WA KUCHAKACHUA?? ZILIZOPO NZEGA
NA FAIZAFOXY YOUR THE SECOND KUCHANGIA HATA UJA TAMBUA. MMENIANGUSHA
gasper2,

Unajua humu JF hatuonani inawezekana kabisa tunasumbuka na watoto wa darasa la nne wasiojua lolote zaidi ya kuiba komputa za wazazi wao wanapokuwa hawapo na kuzitumia, mtu anajiandikia namba tu bila kujua maana ya percentage ni nini.

Nakumbuka wakati wa kampeni mwaka jana Malaria Sugu naye alituwekea poll yake JK 90% Slaa 15% Lipumba 5%. Watu wa sampuli hii ni wasumbufu wanaifanya JF kama sehemu ya ku-chat kama wanavyo-chat na ma girlfriend wao kwenye FB.
 
Hii poll imekosewa. mimi nawapa:
CCM 75%
CUF 19%
Chadema 2%
Zilizoharibika 4%

Nna uhakika CHADEMA watapata kura kidogo ya zilizo-haribika.
Huyu naye ushabiki wake ni wa kitoto IQ ndogo mtu mwenye akili timamu aliye serious na majadiliano hawezi kuweka data kama hizi kwa sababu hazi-reflect hali halisi ilivyo, ndiyo maana wengi huwa wanapuuza michango yake anaishia kupandwa jazba na kuishia kupigwa ban.
 
Kashinde anajieleza vizuri na yupo makini kusikiliza kinachosemwa na wenzake ili kujenga hoja. Wanaigunga kama watamkosa Kashinde basi hawana mwakilishi bungeni.
 
Kujumlisha % nimefundishwa nikiwa darasa la 4.
Big UP SOBY unajua kujumlisha
HIVI 57% +32% + 18% (CCM + CHADEMA + CUF) +(+-)5= +_107%
Statistics haziendi hivyo, kama ni darasa la nne nakuelewa..... this is deeper than you can comprehend. Rudi shule mnatia aibu.
 
Nilivyotabiri(sioyo kama sheikh yahya, ila kimahesabu ya utafiti)ndivyo ilivyotokea, hakuna taasisi au mtu yoyote aliyetabiri as perfect as me. This is not a joke, this is science...Subiri mahesabu ya Arusha, tunayafanyia kazi.
 
Back
Top Bottom