joseeY
Senior Member
- Nov 4, 2010
- 108
- 17
Mie nawaomba sana watu wa Igunga acheni kabisa kuwasikiliza watu wa ccm hawa jamaa ni hatari wanaroho za chuma, hawana lengo la kututoa hapa tulipo, na msikubari kumpa kura zenu anayewaambia atawapa maziwa na asali, ukombozi uanzie kwenye kura zenu, na mapambano msimwachie mtakaye mpa kura hizo msaidieni maadamu ni mzalendo mwenye uchungu na Taifa pia wananchi wenzake.
Ndg zanguni Mungu ametupa tuzo inatupasa kuipokea kwa mikono yote, vijana tupige kura zetu kwa wingi sawasawa na wingi wetu tuwashinde wazee, hao ndo wanaotuangusha vita yetu igeukie kwenye kuangusha mawazo ya kizee. Zambia tayari wamejikomboa. Mungu nakuomba wasaidie watu wa Igunga