Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 186
Hii poll imekosewa. mimi nawapa:
CCM 75%
CUF 19%
Chadema 2%
Zilizoharibika 4%
Nna uhakika CHADEMA watapata kura kidogo ya zilizo-haribika.
Nina uhakika unasinzia hapo uliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii poll imekosewa. mimi nawapa:
CCM 75%
CUF 19%
Chadema 2%
Zilizoharibika 4%
Nna uhakika CHADEMA watapata kura kidogo ya zilizo-haribika.
CCM 57%
CHADEMA 32%
CUF 18%
+/- 5% Error.
Remember Dude Public Policy Associates An Imaginary Public Policy Consultancy Firm.
Hii poll imekosewa. mimi nawapa:
CCM 75%
CUF 19%
Chadema 2%
Zilizoharibika 4%
Nna uhakika CHADEMA watapata kura kidogo ya zilizo-haribika.
Wana JF utabiri wangu matokeo ya uchaguzi Igu Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CCM - 47%
CHADEMA - 34%
CUF - 19%
nasikia huko wakristo ni asilimia 9 tu.
Wana JF utabiri wangu matokeo ya uchaguzi Igu Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CCM - 47%
CHADEMA - 34%
CUF - 19%
Vyama vya upinzani havijawahi kushinda uchaguzi mdogo tangu ule wa Mh Mrema kule Temeke.
CCM ushindi lazima!!!
Ni kweli iko Tanzania. Naifuta kauli yangu hapo juu na kuomba radhi. Nilimsahau mpambanaji Chacha Wangwe.I guess Tarime iko Tanzania si ndiyo?
Join Date : 29th June 2011Wana JF utabiri wangu matokeo ya uchaguzi Igu Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
CCM - 47%
CHADEMA - 34%
CUF - 19%
Hazikutoshi wewe, tulishakuzoeaCCM ushindi lazima!!!