Ihefu FC wamefanya kosa gani kwa kuwafunga Yanga SC hadi walaaniwe na wakamiwe kushushwa daraja?

Afungwe Yanga hasira apate kiazi mbatata kama wewe,aahaaaa
 
Sisi lunyasi tutaipambania kwa hali na mali klabu yetu pendwa ihefu isicheze hata play off,seuze kushuka daraja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…