kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga.
Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa mwezi mzima kama vile malengo Yao yameshatimia. Hili ni somo kwa timu zote ndogo zinazofanya do or die kupata matokeo mazuri kwa Yanga, Simba au Azam zenye vikosi vipana na wachezaji wanaoweza kubadilisha matokeo wao kama wao.
Kubali upoteze pts 3 na Yanga ili uokoe pts 15 kutoka Rika lake.