Kwahiyo Ihefu ikicheza na Yanga ndo haizidiwi mbinu? Ukweli ni kwamba ihefu ikicheza na timu kubwa kama Yanga wachezaji wake wako tayari ikibidi wavunjike au wavunje mtu. Hii inaitwa self motivation. Nia Yao wakati mwingine ni kujiuza TU kwa timu nyingine kuanzia wachezaji hadi bench la ufundi. Mfano, baada ya Mechi Ile ilisaidia katwila kupata timu mtibwa sugar.Napingana na hoja yako mkuu,kwa hoja zifuatazo 1. timu yeyote ikiingia uwanjani hupambania pointi tatu haijalishi timu ni ndogo au kubwa
2. ihefu si kwamba wakicheza na yanga na kuwafunga si kwamba hubweteka au energy hukata hapana bali ni timu ambazo hukutana nazo huwa na tahadhari kubwa wakicheza na ihefu hivyo ihefu huzidiwa mbinu ndani ya pitch.
Nawasilisha.
Sizani kama ni kweli siku Ile ihefu wala hawakutumia energy nyingi maana muda mwingi walikua wanapoteza Tu muda Kwa kulalaIhefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga.
Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa mwezi mzima kama vile malengo Yao yameshatimia. Hili ni somo kwa timu zote ndogo zinazofanya do or die kupata matokeo mazuri kwa Yanga, Simba au Azam zenye vikosi vipana na wachezaji wanaoweza kubadilisha matokeo wao kama wao.
Kubali upoteze pts 3 na Yanga ili uokoe pts 15 kutoka Rika lake.
Bila kuisahau singida na kagera zikicheza na mnyama mkaliIhefu, Coastal Union, Namungo, Azam, Prisons, nk. Wanaendekeza sana hii kasumba ya kukamia baadhi ya mechi.
Tahadhali hii Simba nao waichukueIhefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga.
Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa mwezi mzima kama vile malengo Yao yameshatimia. Hili ni somo kwa timu zote ndogo zinazofanya do or die kupata matokeo mazuri kwa Yanga, Simba au Azam zenye vikosi vipana na wachezaji wanaoweza kubadilisha matokeo wao kama wao.
Kubali upoteze pts 3 na Yanga ili uokoe pts 15 kutoka Rika lake.
yaan mechi moja itumike kuuza wachezaji na makocha kweli? hebu acha utani.Kwahiyo ihefu ikicheza na Yanga ndo haizidiwi mbinu? Ukweli ni kwamba ihefu ikicheza na timu kubwa kama Yanga wachezaji wake wako tayari ikibidi wavunjike au wavunje mtu. Hii inaitwa self motivation. Nia Yao wakati mwingine ni kujiuza TU kwa timu nyingine kuanzia wachezaji hadi bench la ufundi. Mfano, baada ya Mechi Ile ilisaidia katwila kupata timu mtibwa sugar.
Yaani yanga bwana kipindi team zina ahidiwa hela zikiifunga simba na wanasiasa walikaa kimya ila yanga wanapenda kulalamika sana wakiongoza league wanalalamika wasipoongooza wanalalamika.Bila kuisahau singida na kagera zikicheza na mnyama mkali
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Hukuuangalia mchezo vizuri, muda walipoteza baada ya kushinda na mwishoni mwa mechi. Energy ile kama wangekuwa wanaitumia kwenye timu za rika lao wangekuwa wanashika nafasi 6 za juu mwisho wa ligi. Haingii akili leo unapata matokeo dhidi ya yanga lakini keshokutwa unafungwa na timu za rika lako kama JKT, Prisons, polisi, mashujaa, nk. Hii ni sawa na mkulima mmoja mwenye njaa kali anaetaka kujipikia uji atulize njaa yake, lakini badala ya kuota kuni nyembamba zilizopo na magunzi ambayo yako mengi nyuma ya nyumba yake anaamua kunoa shoka ili akakate na kupasua gogo la mkarambati ili apate kuni imara zinazowaka sana ili apikie uji.Sizani kama ni kweli siku Ile ihefu wala hawakutumia energy nyingi maana muda mwingi walikua wanapoteza Tu muda Kwa kulala