iINAKUHUSU......HUU UTOFAUTI WA DARAJA C VYUO VIKUU TANZANIA UTATUGHALIMU MTAANI

CAPPACITOR

Member
Joined
Nov 2, 2013
Posts
17
Reaction score
5
Habarii wana jamvi..Leo nimeona tujalibu kufunguana mawazo juu ya dalaja C vyuo vikuu Tz. Hili suala tunaliona dogo lakini linamghalimu mtu mmoja mjoja huko mtaani, Wakati tukipitapita na bahasha zetu huko maofisini hatutakuwa tukiulizwa kuwa umesoma chuo gani, shida itafika wakati wa kuangalia certificate za watu tokea vyuo tofauti vyenye madalaja ya ufaulu tofauti,kuna baadhi ya vyuo dalaja C linaanza na 40 na vingine linaanza na 50% cjajua kama kuna vyuo dalaja C linaanza chini ya 40%, kwa vyuo ambavyo C ni 40% au chini ya hapo mwenye 41% atakuwa na dalaja C wakati huohuo kwa ambao C inaanza na 50% mwenye 49.9% atakuwa na D hivyo lazima awe alifaya mtihani wa supplimentary nakupewa C*(suppl..).Hawa watu wawili wakiingia kwenye kinyan'ganyilo ataonekana mwenye C alifanya vizuri kuliko mwenye C* na huenda mwenye C* akakosa nafasi kwasababu hiyo. Hili mnalionaje wasomi wenzangu na mnamaoni gani????.
 
Sijakuelewa maana umechanganya na mambo ya supplimentary, explain in detail about who benefits?
 
hata mi kilishanipa mawazo hicho, unless huyo mtu anayeviangalia ageuze au aangilie standard za cheti such as..... A= 85-100% n so.
 

Usiogope kwanza waajiri wenyewe pia huwa wan-consider ubora wa chuo, lakini kwa vyuo ambavyo C ni 40% ndio hivyo Supp.. zao zinakuwa na C* lakini kwa vile ambavyo C ni 50% mtu aki-supp., baada ya ku-suppua akitoka anapewa C ambayo haina *. Ni hayo tuu..,
 
Hao wenye C zinazoanzia 50 ukiona hvyo ujue mitihani yao ni soft,zingatia masharti ya chuo husika mkuu,kama wamesema C yao itaanzia 50 au 40 inatakiwa ucop mazingira,na mtu anaweza kuwa na C* lakini akawa na gpa nzuri tu kwani alifanya vzuri kwenye masomo mengine
 
kwa hiyo hapo umeona umeongea kitu ya maana
 
kama akili yako ilivyo soft hata inashindwa kufikiri jambo dogo kama hili..
 
hata mimi nimekua nikishangazwa muda mrefu na hiki kitu!! unakuta wengine C ni kuanzia 40 wengine 50 sasa hao waajiri wanalikonsida vipi hili swala embu wanaojua zaidi watujuze...maana inachanganya!!
 

Mmmmmh kuna C ya supplimentary icyo na * ?.
 

we kwel kakudah,hv upo chuo gan?
 
C ya 50 ni kwa level za Diploma yaani ni NTA Level 4 up to Level 5
But fo Level 6 C inaanzia 45.

Bacherol Degree C vyuo vingi huanzia 45, then B 55 up to 64, then B+ 65 to 74.. kuanzia 75 ni A hadi 100.

Kwa 40 sifahamu kama kunachuo kinasema hiyo ni C
 

vizur,asante umeeleweka
 

asante bro,naamin umeeleka fresh
 
Duh! Wengine mna raha sana! Medicine: A= 100-75, B+=70-74, B=69-60, C=59-50, D=49-45, E=44-0%
 

Kwa SUA zimekaa hivi..

Grade Range of Equation Grade point Marks
A: 70 – 100% Y = 0.02X + 3 (4.4 – 5.0)
B+: 65 – 69.9% Y = 0.08X – 1.2 (4.0 – 4.39)
B: 60 – 64.9% Y = 0.2X – 9 (3.0 – 3.99)
C: 50 – 59.9% Y = 0.1X – 3 (2.0 – 2.99)
D: 40 – 49.9% Y = 0.1X – 3 (1.0 – 1.99)
E: 0 – 39.9% Y = (0.025) X (0.0 – 0.99)

Where Y = Grade point; X = Raw marks
 

sua hzo maksi hazipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…