Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

Ha ha h.. .nikikutag kijanja dada angu[emoji4]
Nilielewa hapa nnachokozwa. Sasa wewe nambie dubwasha hili kama sijaachia keki naachia nini?...

1690789517472.png
 
Ukienda hospitalini kama unaumwa tumbo lazima daktari atakuuliza kuhusu kunya, unakunya mavi yakoje, ni magumu, malaini au unahara? Utatakiwa utoe mavi hayo yakapimwe ili suluhisho lipatikane na upatiwe tiba **** kuna tatizo. Ukinya ni vizuri ukaangalia divi lina sura gani japo kuna aina ya vyoo ni changamoto kuona ulichokunya. Unaweza ukanya divi lenye rangi ya chakula ulichokula, yaani halijabadilishwa rangi huko tumboni. Hapo utakuwa una matatizo makubwa na hatari kwa afya yako. Mifumo ya umeng'enyaji chakula tumboni itakuwa haifanyi kazi yake. Kuangalia ulichokunya isikupe kinyaa, husaidia kujua matatizo ya tumbo lako na kuchukua hatua mapema
 
Kunya vzr is directly proportional na kula vzr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli Aisee. Ila wengi huwa wanazingatia kula vizuri tu 😅😅
 
Ni kweli Aisee. Ila wengi huwa wanazingatia kula vizuri tu [emoji28][emoji28]
Na watakunya vzr pia,ushakula mihogo na kachumbari
Wadhani Nini kitahappen chooni!![emoji1787][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2]
 
Ukienda hospitalini kama unaumwa tumbo lazima daktari atakuuliza kuhusu kunya, unakunya mavi yakoje, ni magumu, malaini au unahara? Utatakiwa utoe mavi hayo yakapimwe ili suluhisho lipatikane na upatiwe tiba **** kuna tatizo. Ukinya ni vizuri ukaangalia divi lina sura gani japo kuna aina ya vyoo ni changamoto kuona ulichokunya. Unaweza ukanya divi lenye rangi ya chakula ulichokula, yaani halijabadilishwa rangi huko tumboni. Hapo utakuwa una matatizo makubwa na hatari kwa afya yako. Mifumo ya umeng'enyaji chakula tumboni itakuwa haifanyi kazi yake. Kuangalia ulichokunya isikupe kinyaa, husaidia kujua matatizo ya tumbo lako na kuchukua hatua mapema
Use Euphemisms Bro..inaelekea unapenda sn Rough Roads ww
 
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo.

Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba.

Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni kimsingi ni matokeo ya lishe yako, maji unayokunywa, dawa unazotumia na mtindo wa maisha.

Unaweza kutumia Chati ya Kinyesi ya Bristol kuangalia kile kinyesi chako kinamaanisha nini kulingana na muonekano wake.

Aina ya kwanza na ya pili ya kinyesi ni vidonge vigumu vilivyotengana kama karanga ambavyo inakuwa ngumu kutoka wakati wa kujisaidia.

Hii inamaanisha kuwa mhusika amevimbiwa kutokana na kutokula matunda au mboga mboga.

Aina ya tatu na nne ni kama sausage au nyoka au ndizi, kwa kawaida hii huwa rahisi kutoka wakati wa kujisaidia. Hii huchukuliwa kama aina bora ya kinyesi ambayo humaanisha mhusika ana afya nzuri.

Aina ya tano mpaka ya saba kwa ujumla hizi huonesha kuhara. Aina hizi tatu zinaonesha kinyesi ambacho kina maji maji ambayo husababishwa na kukosa aina fulani ya vyakula kama vile matunda.

Ni muhimu kutambua aina ya kinyesi chako na kama kinaishara isiyo nzuri ni vyema kubadilisha mtindo wa maisha.
WhatsApp Image 2024-02-25 at 23.34.03.jpeg
 
HII INAPASWA KUPATA KIPINDI MAALUMI BBC NA CNN.
 
Kuna watu hawapendi kuona walichokunya. Wapo watu wanakunya mavi magumu kiasi cha kutoka na damudamu na wakati mwingine divi hukwama katikati inakuwa shughuli kulimomonyo kwa vidole mpaka litoke lote lilikokwama unyeoni. Huu ni ugonjwa gani? Yale mavi malaini kama uji ni uharo tumbo bovu, je mavi magumu nini tatizo?mmoja
Kuna miaka kadhaa member humu alikutana na hii hali, anasema alilazimika kutumia tea spoon kujinasua maana mbinu zote ziligoma akahisi anakufa, macho yalimtoka kila kitu kikasimama, nadhani alikutana na type 1 au 2
 
Kuna watu hawapendi kuona walichokunya. Wapo watu wanakunya mavi magumu kiasi cha kutoka na damudamu na wakati mwingine divi hukwama katikati inakuwa shughuli kulimomonyo kwa vidole mpaka litoke lote lilikokwama unyeoni. Huu ni ugonjwa gani? Yale mavi malaini kama uji ni uharo tumbo bovu, je mavi magumu nini tatizo?
UKIKAZA kusukuma mishipa midogo midogo ya damu inayozunguka hiyo njia inapasuka, kunavimba na mingine inajikunja ndio unapata the so called BAWASIRI.
Inatibiwa kwa kufanyowa operation na maumivu yake , utaomba dunia isimame.
 
Back
Top Bottom