Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

Pia kutoa choo ni asubuhi, usitembee na mzigo wa jana mwilini.
Nyumba ya kupanga ina vyumba 14, kuna watoto na wazazi, choo kimoja ,yaani mnasubiriana inabidi hasa wadada wayabebe wakateremshie makazini.
 
Kwa hili suala la kujisaidia tuombe profesa janabi alizungumzie kinagaubaga kama ilivyo suala la kula. Maana katika kula kuna kujisaidia. Zipo shida za kujisaidia haijalishi umekula milo mingapi
 
Kuna watu hawapendi kuona walichokunya. Wapo watu wanakunya mavi magumu kiasi cha kutoka na damudamu na wakati mwingine divi hukwama katikati inakuwa shughuli kulimomonyo kwa vidole mpaka litoke lote lilikokwama unyeoni. Huu ni ugonjwa gani? Yale mavi malaini kama uji ni uharo tumbo bovu, je mavi magumu nini tatizo?
Punguza Kula vyakula vya ngano
 
Back
Top Bottom