Ijue afya yako kupitia aina ya kinyesi unachokitoa

Ukienda hospitalini kama unaumwa tumbo lazima daktari atakuuliza kuhusu kunya, unakunya mavi yakoje, ni magumu, malaini au unahara? Utatakiwa utoe mavi hayo yakapimwe ili suluhisho lipatikane na upatiwe tiba **** kuna tatizo. Ukinya ni vizuri ukaangalia divi lina sura gani japo kuna aina ya vyoo ni changamoto kuona ulichokunya. Unaweza ukanya divi lenye rangi ya chakula ulichokula, yaani halijabadilishwa rangi huko tumboni. Hapo utakuwa una matatizo makubwa na hatari kwa afya yako. Mifumo ya umeng'enyaji chakula tumboni itakuwa haifanyi kazi yake. Kuangalia ulichokunya isikupe kinyaa, husaidia kujua matatizo ya tumbo lako na kuchukua hatua mapema
 
Kunya vzr is directly proportional na kula vzr[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli Aisee. Ila wengi huwa wanazingatia kula vizuri tu πŸ˜…πŸ˜…
 
Ni kweli Aisee. Ila wengi huwa wanazingatia kula vizuri tu [emoji28][emoji28]
Na watakunya vzr pia,ushakula mihogo na kachumbari
Wadhani Nini kitahappen chooni!![emoji1787][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2]
 
Na watakunya vzr pia,ushakula mihogo na kachumbari
Wadhani Nini kitahappen chooni!![emoji1787][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2]
Wabongo tunazeekea chooni, maana tunakunja sana sura πŸ˜…
 
Use Euphemisms Bro..inaelekea unapenda sn Rough Roads ww
 
 
HII INAPASWA KUPATA KIPINDI MAALUMI BBC NA CNN.
 
Kuna miaka kadhaa member humu alikutana na hii hali, anasema alilazimika kutumia tea spoon kujinasua maana mbinu zote ziligoma akahisi anakufa, macho yalimtoka kila kitu kikasimama, nadhani alikutana na type 1 au 2
 
UKIKAZA kusukuma mishipa midogo midogo ya damu inayozunguka hiyo njia inapasuka, kunavimba na mingine inajikunja ndio unapata the so called BAWASIRI.
Inatibiwa kwa kufanyowa operation na maumivu yake , utaomba dunia isimame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…