Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Sio hivyo tu katika viumbe 1000 ambavyo Allah ameviumba, 600 vipo baharini na 400 vipo inchi kavu
 
Miti iliyopo ni ile mikoko ambayo ipo kando ya bahari, kungekuwa na miti chini ya bahari lazima vyombo vingekuwa vinanasa hasa kwenye kina kidogo cha maji.
kwani hata hapa ardhini kila sehemu kuna misitu na milima?.
 
Hapa umetupiga inawezekana kabisa uliyoongea yana kiasi cha uhalisia lakini
Suala la wewe kwenda huko siyo kweli

Refer wale matajiri walioenda kuiangalia Titanic unakumbuka maelezo kwamba huko ni sehemu ya aina gani?
Na kama baharini kuna misitu huwenda ipo kwenye kina kirefu kuliko ilipozamia Titanic
Na kufika huko bado hakuna teknolojia hiyo

Wewe na wajapani mlikuwa nchi gani hiyo
Maana sidhani kama bahari ya Tanzania ina kina kirefu kiasi hicho angalau Somalia nasikia ndiyo kwenye kina kirefu zaidi kwenye bahari yetu
Ingekuwa kunaendeka kimchekea hivyo nadhani kungekuwa na vituo vya utalii vingi sana huko chini na safari za huko ingekuwa ni kawaida sana
 
chai
 
Kuna mkuu amesema Kwamba Meli ya titanic iligonga jiwe.

Kwa kudhani kuwa imegonga mwamba chini ya maji ..
Haikugonga chini ya Maji bali juu ya maji ndy kulikuwa na mwamba wa barafu.
Kuwepo miamba ya mawe baharini pia ni kitu cha kawaida
 
Simuliwa kidogo mkuu
 
Hiyo miti inapataje mwanga wa jua? Haina chlorophyll?
Some involve cypress or mangrove trees, which have special roots that allow them to breathe air and survive while submerged. Kelp forests are also examples of living underwater forests. Growing in dense groupings, kelp, which is actually large, brown algae, provides critical habitat for marine wildlife.
 
Kazi utapewa lakini punguza πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„uongo
 
Hiki ndio kinatuponza WaTz na waafrika kwa ujumla. Sisi tunachokiogopa, ndio wenzetu wanachowekeza muda na maarifa kukijua kwa undani. Nahisi hofu za kiimani zinatuathiri sana kwa kutujaza uoga.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Chini ya bahari kuna mimea ambayo mingine hufika urefu wa mita60 kwenda juu, lakini mimea hii atuiiti miti kwa sababa muundo wake hauna jiti/ukuni(wood). That means haifai kwa mbao.

miti hii haiitaji support kubwa ili isimame wima kama miti ya juu ya ardhi ambayo ina shina na matawi magumu, bali miti hii imeundwa na tishu ambazo zinawezesha kupata support ya kusimama wima kutokana na maji ya bahari.
 
Mkuu LOOK OUT Ni kitaalamu au kingereza?

Naitaji kujua Hilo Kisha utatuma salamu Kwa watu Saba. Umeeleza vizuri sana
 
Mkuu LOOK OUT Ni kitaalamu au kingereza?

Naitaji kujua Hilo Kisha utatuma salamu Kwa watu Saba. Umeeleza vizuri sana
Hii ni kitaalam mkuu..

Ktk majukumu ya baharia ni moja wapo ni watch keeping ambapo wanafanya LOOK OUT meli ikiwa inatembea especially usiku.

Sababu meli hutembea bila taa ,,
So lazima wawepo mabaharia ambao wanaangaza huko na huko kuangalia vitu hatarishi kama fishing boats, fishing nets,etc.

Hiyo ndy huitwa LOOK OUT..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…