Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Kuna ukweli ndani yake hapa
 
Bahari kwa kuifikiria tu bila maarifa yoyote ya kuambia ni li kiumbe la ajabu sana.

Shukrani ziwaendee kwao waliowekeza muda na akili zao kuitafiti bahari, walau kuna abc’s za kupigia kahawa kuhusu hilo li kiumbe bahari
 
Sio kila sehemu kuna miti ni baadhi ya sehemu pia kuna mimea tofauti tofauti..
 
Bahari kwa kuifikiria tu bila maarifa yoyote ya kuambia ni li kiumbe la ajabu sana.

Shukrani ziwaendee kwao waliowekeza muda na akili zao kuitafiti bahari, walau kuna abc’s za kupigia kahawa kuhusu hilo li kiumbe bahari
Na kashata kwa mbali...lakini misitu IPO amin
 
ukienda baharini saa nane usiku lazima likupate wavuvi wana roho ngumu sana kukesha huko
 
Bahari Ina milima mikubwa sana kuliko milima ya duniani na pia Ina tuvilima tudogo tudogo pia.
 
Process ya photosynthesis inafanyikaje?
hiyo process haina ulazima sana kwa mimea ya huko. Viumbe na mimea inayopatikan baharini haitegemei Mfumo wa Maisha kama upatikanao nchi kavu,

Ndomaan ukimtoa Samaki ukimleta nchi kavu anakufa.... Na pia pamoja na kwamba chura anauwezo wa kuishi kwenye maji ila Ukimpeleka kwenye maji ya bahari anakufa.
 
Msitu uko wapi?
 
Mimea (Kingdom Plantae) ni lazima ifanye ‘photosynthesis’ ili kujitengenezea chakula na kuishi. Hiyo ni fact.
 
Mimea (Kingdom Plantae) ni lazima ifanye ‘photosynthesis’ ili kujitengenezea chakula na kuishi. Hiyo ni fact.
Wewe unazungumza vya kwenye vitabu, hata siye tulifundishwa hayo shule ya msingi mmea kusharabu na kujongea kwa mwanga!
Lakini huko baharini kuna mimea ya chini ya bahari ambayo haitegemei jua!
Wewe umesikia sisi tumeona
 
Ninavyojua Mimi hakuna kiumbe hai kinaweza kuishi chini ya maji sakafuni labda eneo lenye milima huko ambalo linakaribia nchi kavu. Hii ni kwasababu uzito wa maji hauhimiliki kubebeka. Ni mtizamo wangu.
 
Mimea (Kingdom Plantae) ni lazima ifanye ‘photosynthesis’ ili kujitengenezea chakula na kuishi. Hiyo ni fact.
Sasa wew tatizo umekariri hiyo sayansi ya form two ndo unafikiri imemaliza elimu yote kuhusu mimea,

Wanasayansi wenyew wanathibitisha kwamba mpaka saivi wamefanikiwa kuijua Bahari kwa 5% tu......mengi sana kuhus bahari wanasema bado hawayajui wanaendelea na tafiti,

Ila wewe bado umeng'ang'ana na sayansi ya Form two ndo unafikiri imemaliza kila kitu kuhusu Mimea na dunia.
 
Ni kweli baharini kuna misitu ila si ya miti.. ni kama ya majani (algae) ama jamii ya mwani kwa kiswahili. Ni laini kwa asili, na mengi yanachanika kipindi cha mawimbi makali. Kwa picha ya hapo juu, hiyo ni mibuyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…