KIMOMWEMOTORS
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 358
- 675
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
UTANGULIZI
Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007
Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu zaidi ni Mercedes Benz M Class na Range Roverš, lakini ukweli ni kua baada ya X5 kuingia sokoni ilifanya gari hizo zionekana za kawaida kwenye mwonekano unaovutia ndani na nje, starehe (luxurious), na hata kupanda kwake juu kuliko washindani wake hao.
Injini na Mafuta
Injini inayoongelewa leo ni inayotumia Diesel ambayo ina Cylinder 6 yenye Cc 3000. Japo ipo ya Diesel nyingine yenye Cylinder 8.
Injini hiyo ya 3.0L ina uwezo wa kwenda mpaka Km 11 kwa lita moja ya mafuta.
Utulivu na uimara
Gari hii ina speed 240 na katika barabara kuu inaelezewa kuweza kwenda Mpaka Km 240 bila kuyumba sababu ya uzito wa bodi yake upatao tani 2.1 na tairi zake za nyuma kuchanua hivyo kuipa utulivu gari iwapo katika mwendo
Katika vumbi au matuta gari hii huwapa utulivu abiria kwa kua chini imeundwa kwa booster (air suspension) ambazo hupunguza mtikisiko kwa kiasi kikubwa.
Vifaa
Vifaa kwa sasa vinapatika zaidi Dar es Salaam kwa gharama za juu kiasi chini ya vifaa vya Volkswagen Touarage. Uzuri ni kwamba vinadumu kwa mda mrefu.
Nyongeza
Radio Frequency za gari hii ni mpaka 107fm tofauti na gari nyingine zinazoishia 90fm
Pia gari hii viti vyake vya mbele ni vya mfumo wa umeme, dashboard yenye nakshi ya mbao mbao ikiwa na screen, Viti vya ngozi ngumu, baadhi zina Sunroof, Parking Sensors 6 badala ya 4, Airbags 6 badala ya 2.
Maoni na Ushauri
Kama unafikiria kupata SUV yenye ubora na uwezo wa juu hii ni moja wapo ya gari bora sana haswa kama utapata inayotumia.
Gharama
Kwa kuagiza gari hii inayotumia Diesel hughar kati ya 30m mpaka 34m kutegemea na mwaka na inavyouzwa huko nje.
Kama utataka ya Petrol itagharim kati ya 24.5m mpaka 27m