Ijue BMW x5 automatic Diesel

Ijue BMW x5 automatic Diesel

KIMOMWEMOTORS

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2018
Posts
358
Reaction score
675
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL

Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari

UTANGULIZI

Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007

Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu zaidi ni Mercedes Benz M Class na Range Rover😊, lakini ukweli ni kua baada ya X5 kuingia sokoni ilifanya gari hizo zionekana za kawaida kwenye mwonekano unaovutia ndani na nje, starehe (luxurious), na hata kupanda kwake juu kuliko washindani wake hao.

Injini na Mafuta

Injini inayoongelewa leo ni inayotumia Diesel ambayo ina Cylinder 6 yenye Cc 3000. Japo ipo ya Diesel nyingine yenye Cylinder 8.

Injini hiyo ya 3.0L ina uwezo wa kwenda mpaka Km 11 kwa lita moja ya mafuta.

Utulivu na uimara

Gari hii ina speed 240 na katika barabara kuu inaelezewa kuweza kwenda Mpaka Km 240 bila kuyumba sababu ya uzito wa bodi yake upatao tani 2.1 na tairi zake za nyuma kuchanua hivyo kuipa utulivu gari iwapo katika mwendo

Katika vumbi au matuta gari hii huwapa utulivu abiria kwa kua chini imeundwa kwa booster (air suspension) ambazo hupunguza mtikisiko kwa kiasi kikubwa.

Vifaa

Vifaa kwa sasa vinapatika zaidi Dar es Salaam kwa gharama za juu kiasi chini ya vifaa vya Volkswagen Touarage. Uzuri ni kwamba vinadumu kwa mda mrefu.

Nyongeza

Radio Frequency za gari hii ni mpaka 107fm tofauti na gari nyingine zinazoishia 90fm

Pia gari hii viti vyake vya mbele ni vya mfumo wa umeme, dashboard yenye nakshi ya mbao mbao ikiwa na screen, Viti vya ngozi ngumu, baadhi zina Sunroof, Parking Sensors 6 badala ya 4, Airbags 6 badala ya 2.

Maoni na Ushauri

Kama unafikiria kupata SUV yenye ubora na uwezo wa juu hii ni moja wapo ya gari bora sana haswa kama utapata inayotumia.

Gharama

Kwa kuagiza gari hii inayotumia Diesel hughar kati ya 30m mpaka 34m kutegemea na mwaka na inavyouzwa huko nje.

Kama utataka ya Petrol itagharim kati ya 24.5m mpaka 27m

20210604_174127.jpg
IMG_20210604_175254_551.jpg
IMG_20210604_175254_554.jpg
IMG_20210604_175254_552.jpg
20210604_174118.jpg
IMG_20210604_175254_568.jpg
IMG_20210604_175254_586.jpg
 
Hii gari naikubali sana ila angalau ya kuanzia 2010 kidogo inamuonekano japo sijawahi endesha...kingine nasikia diesel ya tz huwa inasumbua sio safi kama ya huko dunia ya kwanza hivyo husumbua kuhusu mafuta na nozel sijajua uhalisia, siunajua habari za mitaani...pia bei ya spea kama magari yote ya ulaya imechangamka haswa, ka sennsor tu unaambiwa 3m.
Screenshot_20210604-222100_Chrome.jpg
 
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL

Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari

UTANGULIZI

Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007

Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu zaidi ni Mercedes Benz M Class na Range Rover[emoji4], lakini ukweli ni kua baada ya X5 kuingia sokoni ilifanya gari hizo zionekana za kawaida kwenye mwonekano unaovutia ndani na nje, starehe (luxurious), na hata kupanda kwake juu kuliko washindani wake hao.

Injini na Mafuta

Injini inayoongelewa leo ni inayotumia Diesel ambayo ina Cylinder 6 yenye Cc 3000. Japo ipo ya Diesel nyingine yenye Cylinder 8.

Injini hiyo ya 3.0L ina uwezo wa kwenda mpaka Km 11 kwa lita moja ya mafuta.

Utulivu na uimara

Gari hii ina speed 240 na katika barabara kuu inaelezewa kuweza kwenda Mpaka Km 240 bila kuyumba sababu ya uzito wa bodi yake upatao tani 2.1 na tairi zake za nyuma kuchanua hivyo kuipa utulivu gari iwapo katika mwendo

Katika vumbi au matuta gari hii huwapa utulivu abiria kwa kua chini imeundwa kwa booster (air suspension) ambazo hupunguza mtikisiko kwa kiasi kikubwa.

Vifaa

Vifaa kwa sasa vinapatika zaidi Dar es Salaam kwa gharama za juu kiasi chini ya vifaa vya Volkswagen Touarage. Uzuri ni kwamba vinadumu kwa mda mrefu.

Nyongeza

Radio Frequency za gari hii ni mpaka 107fm tofauti na gari nyingine zinazoishia 90fm

Pia gari hii viti vyake vya mbele ni vya mfumo wa umeme, dashboard yenye nakshi ya mbao mbao ikiwa na screen, Viti vya ngozi ngumu, baadhi zina Sunroof, Parking Sensors 6 badala ya 4, Airbags 6 badala ya 2.

Maoni na Ushauri

Kama unafikiria kupata SUV yenye ubora na uwezo wa juu hii ni moja wapo ya gari bora sana haswa kama utapata inayotumia.

Gharama

Kwa kuagiza gari hii inayotumia Diesel hughar kati ya 30m mpaka 34m kutegemea na mwaka na inavyouzwa huko nje.

Kama utataka ya Petrol itagharim kati ya 24.5m mpaka 27m

View attachment 1808154View attachment 1808156View attachment 1808157View attachment 1808158View attachment 1808159View attachment 1808160View attachment 1808161
Mnyama wa ukweli sana huu mdude

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari naikubali sana ila angalau ya kuanzia 2010 kidogo inamuonekano japo sijawahi endesha...kingine nasikia diesel ya tz huwa inasumbua sio safi kama ya huko dunia ya kwanza hivyo husumbua kuhusu mafuta na nozel sijajua uhalisia, siunajua habari za mitaani...pia bei ya spea kama magari yote ya ulaya imechangamka haswa, ka sennsor tu unaambiwa 3m.
View attachment 1808472
Sensor gani inauzwa 3M?
 
Diesel ya Tanzania sio kwamba ni chafu, bali ina sulphur content kubwa .
 
Kwanini isipunguzwe hiyo sulphur?
Ni gharama ku blend diesel ya low sulpher ,

Low sulpher diesel ni mipango ya nchi za ulaya kukabiliana na carbon footprint, sisi huku africa bado hatujawa na uwezo wa kulikabili hilo kutokana na uchumi, wetu.
Hata dealers wa magari mapya , bado wanauza magari ya euro 3 emission , kwa sababu ya diesel zetu.
 
Back
Top Bottom