Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hapa unatupanga sasa, tunaosoma uzi wako tuna exposure kubwa ya kusafiri.Visa ni muhimu na lazima uwe na barua ya mwaliko pamoja na ticket ya kueudi. Na aliekualika lazima agile airport kukupokea. Vinginevyo unaweza kuzuiliw airport
Sina haja ya kupanga kwa sababu sina manufaa yoyote ninayopiga.Hapa unatupanga sasa, tunaosoma uzi wako tuna exposure kubwa ya kusafiri.
NextInaendekea.....
FURSA ZA BIASHARA
kama nilivyoeleza hapo juu hii nchi haina kitu chochote Inachozalisha kitu ambacho kinapelekea kuwepo kwa fursa nyingi za biashara.
Kitovu cha biashara ni mji wa Moroni - Grande Comores na asilimia kubwa ya biashara huku zinafanywa na Watanzania, Waanjouni na wabushi (Wamadagascar).
Fusra nyingi za kupiga pesa ziko kwenye bidhaa za chakula; hapa nina maanisha mali mbichi na mali kavu pamoja na biashara ya mifugo.
Bei za bidhaa hukun hubadilika kulingana na demand hivyo kama unataka kufanya biashara lazima ujue ni bidhaa gani haiko sokoni ambapo ukibahatisha kuleta na ukajikuta ni wewe mwenyewe utapiga pesa safi. kwa mfano sasa hivi hakuna mayai hivyo ikitokea mtu akaleta leo basi atauza trei moja kwa elf20.
Biashara ya mifugo nadhani ndio inalipa Sana ila ina changamoto zake.
CHANGAMOTO ZA KUFANYA BIASHARA HUKU
Moja ya changamoto kubwa inayo wakumba wafanyabiashara huku ni UTAPELI, NA HUJUMA; vinara wakubwa kwa utapeli na kuhujumu wafanyabiashara wenzao ni watanzania.
Kwa kifupi niseme kuwa watanzania walioko huku ni wabinafsi na wana roho mbaya sana. hawataki kuona wenzao wakifaidika.
Watanzania wengi walioko huku ni matapeli na wameharibu sana reputation ya watanzania wote
Wahamoaki kwa sasa wanaogopwa kwa asilimia kubwa ndio waliokuwa wanatumia kufanya assassination ya viongozi.How nchi yenyewe inaonekana maskini ila wana changamoto sana hata kwa watalii na wanaogopa wahamiaji?.
Inesgia hivyoNext
Ujaongelea usafiri kuna meli ya kwenda huko na gharama zipo vp maana kwa ndege naona ishakua kipengeleInesgia hivyo
Hapa unatupanga sasa, tunaosoma uzi wako tuna exposure kubwa ya kusafiri.
Aisee hii nilikuwa sijuiHata mimi namshangaa comoro iko SADC au inakuaje hapo kututisha hivo visa muhimu lakini hadi hotel ulipie hapana sio kweli
Nimempuuza hapo tu nimemuona ni mjinga fulani tu.Hata mimi namshangaa comoro iko SADC au inakuaje hapo kututisha hivo visa muhimu lakini hadi hotel ulipie hapana sio kweli
Nimempuuza hapo tu nimemuona ni mjinga fulani tu.
Kila siku majahazi yanakwenda Comoro na watu wanaingia bila tatizo lolote.
Yani uingie South Africa bila viza na bila kusumbuliwa ndio upate usumbufu Comoro? Kuna employment opportunity ipi comoro?
Hujui Rais wao anaitwa Athumani? Hata ile Sadc summit iliyofanyika Dar enzi za Jiwe alikuwepo, Serikali yao ipo madarakani kwa msaada wa Tanzania.Aisee hii nilikuwa sijui
Mayotte kuna transit ya kwenda ufaransa? how?Niliwahi kupata taarifa kidogo kwa jamaa yangu aliepo Mayotte ambae yuko on transit to France kuna aliyosema hapo juu ni sahihi, lakini comoro sio big deal kwa mtafutaji
Hio ya majeshi naikumbuka.Hujui Rais wao anaitwa Athumani? Hata ile Sadc summit iliyofanyika Dar enzi za Jiwe alikuwepo, Serikali yao ipo madarakani kwa msaada wa Tanzania.
Hata msiba wa jiwe pia alikuja alihutubia kwa kifaransa.
Kuna yule kanali Abubakar alihasi na kutaka visiwa vijitenge, ni majeshi ya Tanzania ndio yalikwenda kuweka mambo sawa.
Mayotte kuna transit ya kwenda ufaransa? how?
Najuwa iko chini ya Ufaransa, unawezaje kwenda Ufaransa kisa upo Mayote?Mostly ni wazamiaji ambao hawana makaratasi, Mayotte iko chini ya Ufaransa hadi leo tofauti na visiwa vingine vitatu.
Najuwa iko chini ya Ufaransa, unawezaje kwenda Ufaransa kisa upo Mayote?
Iko hivi, malkia ndio mkuu wa nchi ya Australia, kila raia wa Australia automatically ana uraia wa Uingereza, lakini si kwamba mgeni uliyopo Australia ndio transit ya kuingia Uingereza.