Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
HahahaMwambie ntakuja na heinken zangu ainsumbue
Hahah!Kwa Daby nshajitoa baada ya kutanguliza mguu mmoja nikaona kina kirefu hicho siwezi mwenzangu lol
Mie opportunity za nini tena jirani!!!Ha ha ha unavyopenda udee sasa we kaa mapokez uuze sura maana ndio opportunity zilipobakia
Nimemuuliza valey maana ndio mumewe huyo. Mbona yumo humu!!Kiranga JF walimzingua nadhani akaondoka issue za privacy hizi
Ndio hivyo!Ati niiini.......? "Kajaza"?
Naamini humanishi "kujaza" ya Joti
[emoji3][emoji3] is it the right time kweli au usubiri kidogoMy kaka its about time nimjue wifi yangu.
Mapenzi yana mvuto wa ajabu, mnajikuta mnavutana tu.MI NASHANGAA MNAPATA VIPI KUPO HUMU,KWANZA PICHA NYINGI SIZIONI AFU UNAWEZA ANGUKIA KWA MBIBI AU MBABU,PIA UNAWEZA TONGOZA MWANAMKE AU MWANAUME MWENZIO KWA KUWA MAJINA YA HUMU DUUU HATARI
Yes it is.[emoji3][emoji3] is it the right time kweli au usubiri kidogo
Aiseee.Aseeh.
Ukitaka kutangaza couple unatoa taarifa tutauana kwa presh chama kiidhinishe kwanza.
Haha u will know her soonYes it is.
Nahitaji kuitwa aunty sasa.
Itifaki haikuzingatiwa kama unavyoona mwanzisha uzi sio mwanachama.Aiseee.
Unipe muhtasari wa kikao halali cha chama juu ya jambo hili.....
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Nahitaji maelezo ya kimaandishi kesho kabla ya muda wa mwisho wa saa za kazi
Waiting.Haha u will know her soon
Baada ya kufanya upembuzi wa makinika.... Sihitaji ripot tena.Itifaki haikuzingatiwa kama unavyoona mwanzisha uzi sio mwanachama.
[emoji16][emoji16][emoji16].Baada ya kufanya upembuzi wa makinika.... Sihitaji ripot tena.
Kidumu chama twawala....!
Sasa sijui nikuite Shem au.....
Hili faili Ni la ndugu kabisa.[emoji16][emoji16][emoji16].
Ushemeji kwa nani bro.