Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

hayo mambo ya Instagram jaman huku peke Akili zao% ssa twapelekwa wap jaman?
 
Daby The Don kijana huwa haniangushi kabisa ...Hongera sana kjna.
 
MI NASHANGAA MNAPATA VIPI KUPO HUMU,KWANZA PICHA NYINGI SIZIONI AFU UNAWEZA ANGUKIA KWA MBIBI AU MBABU,PIA UNAWEZA TONGOZA MWANAMKE AU MWANAUME MWENZIO KWA KUWA MAJINA YA HUMU DUUU HATARI
 
MI NASHANGAA MNAPATA VIPI KUPO HUMU,KWANZA PICHA NYINGI SIZIONI AFU UNAWEZA ANGUKIA KWA MBIBI AU MBABU,PIA UNAWEZA TONGOZA MWANAMKE AU MWANAUME MWENZIO KWA KUWA MAJINA YA HUMU DUUU HATARI
Mapenzi yana mvuto wa ajabu, mnajikuta mnavutana tu.
 
Baada ya kufanya upembuzi wa makinika.... Sihitaji ripot tena.

Kidumu chama twawala....!

Sasa sijui nikuite Shem au.....
[emoji16][emoji16][emoji16].
Ushemeji kwa nani bro.
 
Back
Top Bottom