Una akil sanaNaogopa sana
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyyyyyyyyyhata me nashangaa mkulane tu
Kaka angu ndio lakini ya Mungu mengi huwezi juaMwenyewe sijui mwaya..
Huyo si kakako au
Karibu tenaHilo ndo jibu
Kwa heri mkaka
NdiwooooSasa mie dadake
Ko wewe kaka yetu
Itume banaSasa mwenyewe anaogopa utafanyaje sasa?
[emoji2] [emoji2]Weee undugu hauna conection huu ukaka na udada wetu uko tofaut na wa kwenu
KashakataaaItume bana
Ni yeye...Unajua nimeshangaa nimeogopa hata kumquote asije akanibadilikia au ni mtu tu mwingine kaamua kuweka avatar yake
Hahha na kweli mkarimuTatzo mie mkarimu sana wakiipenda wakiomba ntawapa af utachukia
AhahahaNtakuletea nimkute na bwana ako
Sawa tuuMume mie sjui namjua bwana wako
HaweziBonny anataka kufanya mapinduzi tena ameamua
[emoji23] [emoji23] amedhamilia kuivunja ndoa yakoSema mume jamani
Nini tena jamanShunie ukuje huku useme ukweli
Yamekuwa hayooo mdogo wanguhata me nashangaa mkulane tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]We jua tu hakuna undugu mie kaka yake kwa shangazi yake mtoto wa bib yule mdogo wake na baba sjui umenielewa?
Na me mume wangu unamjuaMume mie sjui namjua bwana wako