Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

mbna nikiview iZo Tag nikiview ya daby nampata daby na nikiview valentina pia nampata Daby hapa kuna ujanja
 
Unajua nimeshangaa nimeogopa hata kumquote asije akanibadilikia au ni mtu tu mwingine kaamua kuweka avatar yake
Ni yeye...

Mbona kawa mkali alivyotajwa kwenye ile id pendwa....

Kuna siku nilimuona akaniambia id ya kutafutia michuchu
 
Back
Top Bottom