Sitaki kusononesha moyo wako eti...We bisha tu ila nikikufuma hope unajua vile ntakufanya
hapa nimeridhika kwa kuwa umejitokeza mwenyew ,inapendeza kila la heri kwenye uhusiano wenuUjanja gani?
vp kwema mbona kuguna tena
waachie wenye macho mazima wasomewew soma hapaMe sijui ushamba sipendi marangi rangi jamaan kuumizana macho tu
bamdogo kweliiii[emoji8][emoji8]
Hao uliowaqoute ni vivuruge wataharibu furaha yetu
sawawaachie wenye macho mazima wasomewew soma hapa
Haujambo mamdogo. Nikiwa sipo mlinde vale .sawa.bamdogo kweliiii
sawa bamdogo kwahiyo vale sasa hivi ndo mamdogo angu eenhHaujambo mamdogo. Nikiwa sipo mlinde vale .sawa.
Mie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!sawa bamdogo kwahiyo vale sasa hivi ndo mamdogo angu eenh
Kwani hautakisawa bamdogo kwahiyo vale sasa hivi ndo mamdogo angu eenh
Mweeh kopo tenaNgoja nami nitafute kopo langu[emoji16]
Haya ni malalamiko au ushauri sisyMie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!
Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
Hakuna wa kuvuruga furaha yetu baby... Watashindwa kwa majina yetu[emoji8][emoji8]
Hao uliowaqoute ni vivuruge wataharibu furaha yetu
Nakwambia naringaje![emoji23] [emoji23] [emoji23] ukipendwaa ringaa
shangazi mie kila siku natambulishwa mamdogo tuMie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!
Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
sio sitaki nauliza nijue nishachoka mie kila siku naletewa mama wadogo tuKwani hautaki