Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

Ijue Couple inayokuja kwa kasi JF baina ya Baby Daby na Baby Valentina

We bisha tu ila nikikufuma hope unajua vile ntakufanya
Sitaki kusononesha moyo wako eti...

Wewe ukinifuma ruhusa kunifumua.
Sasa hivi
de406faa1b3d00963507c6356fea7771.jpg
 
Mie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!

Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
Haya ni malalamiko au ushauri sisy
 
Mie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!

Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
shangazi mie kila siku natambulishwa mamdogo tu
 
Back
Top Bottom