Ha haa yule Mkenya mwambie akasomeMie nilishamuambia mie sio mtoto mwenzie, siku akiamua kufanya maamuzi ndio anitambulishe, sio mwisho ukoo mzima tuonekane ndio wale wale!!!
Kwahiyo kwasasa mie mtazamaji tu.
AmeenHakuna wa kuvuruga furaha yetu baby... Watashindwa kwa majina yetu
TehHakuna wa kuvuruga furaha yetu baby... Watashindwa kwa majina yetu
Huyu eti ni kama nampenda sijui kanipa ninsio sitaki nauliza nijue nishachoka mie kila siku naletewa mama wadogo tu
ringa mama mpka kuku waone wivuNakwambia naringaje!
Kupendwa ndo huku mama
hivi bamdogo na we kumbe una wivuTeh
Sasa nilivyo na wivu nikute unacheka na kina nanii.
kwahiyo bamdogo wale wengine ulikua huwapendi kabisaHuyu eti ni kama nampenda sijui kanipa nin
Acha tu natamani awe ananiqoute mimi tuhivi bamdogo na we kumbe una wivu
Kuna siku utarudi home umevimba ndio utakoma, pale utapomsalimia mamako mdogo kumbe kishaachwa upokee bonge la kofi. We tambulishwa tu, ila mie asubiri hadi akikua.shangazi mie kila siku natambulishwa mamdogo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu natamani awe ananiqoute mimi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna siku utarudi home umevimba ndio utakoma, pale utapomsalimia mamako mdogo kumbe kishaachwa upokee bonge la kofi. We tambulishwa tu, ila mie asubiri hadi akikua.
We unaonaje bro?Haya ni malalamiko au ushauri sisy
Mie tena ndio nimwambie!!!Ha haa yule Mkenya mwambie akasome
Hili swali nitakujibu ukikua. Sawa.kwahiyo bamdogo wale wengine ulikua huwapendi kabisa
hivi bamdogo nitakua zaidi ya hapa eenhHili swali nitakujibu ukikua. Sawa.
Naona muendelezo wako wa kuwakataa mawifi. Wewe unamtaka nani au mtoto wa bill gate? Au Sasha Obama?We unaonaje bro?
Nimelinganisha swali ulilouliza mamdogo.hivi bamdogo nitakua zaidi ya hapa eenh
Kwani baby nikicheka nao wanaondoka nacho?Teh
Sasa nilivyo na wivu nikute unacheka na kina nanii.
Wapi nimemkataa wifi yangu? Mie nawakataa wazinzi wenzio. Siku ukimpata wifi ndio uje unitambulishe dogo. Hao wengine muishie huko huko, wasije niona na mie wale wale!!! Sawa mtoto mzuri?Naona muendelezo wako wa kuwakataa mawifi. Wewe unamtaka nani au mtoto wa bill gate? Au Sasha Obama?
Mmh,Kwani baby nikicheka nao wanaondoka nacho?
Si wajua mkeo navopenda kucheka jamani