Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Auntie muwage mnaniita jamani, mie chit chat sipitagi sana[emoji85] [emoji85] [emoji85]Yaani anti na kuangalia tuu
Very sory mpenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Auntie muwage mnaniita jamani, mie chit chat sipitagi sana[emoji85] [emoji85] [emoji85]Yaani anti na kuangalia tuu
Yaaah nakumbuka yako ilizingatia itifaki.....Yangu haivunjiki, ilijengwa kwa kufuata utaratibu.
Yangu haivunjiki, ilijengwa kwa kufuata utaratibu.
Yaaani juhudi zote za kukutafutia immigration visa ya Trump kumbe wataka bakia kwa mtogole?Kaka naona GENTA anatufungisha ndoa ya mkeka
Usiruhusu mdogo wako nikaenda kwa Daby anasakos ya wanawake huyo
Panandi sebho..... kweli dot com aisee maana napata taarifa mitandaoniHa haa haaa sebho, ghwalamsha!
Watoto wa.. com wanaleta habri zao za boyfriend mara ayaaaa
Hilo jina nalikubali sana, nina ndugu yangu anaitwa Sakayo aka Sakai........ Karibu kwetuAbeeee
Haha.Wewe wa kupakaziwa!! Kweli nimeamini UKIMWI ni mbwembwe tu!!
Akuu mi staki kubaki huku mavumbini banaYaaani juhudi zote za kukutafutia immigration visa ya Trump kumbe wataka bakia kwa mtogole?
Nini......Yani wewe
Wee usipige kwanzaNini......
Tupige vigelegele?
He hee heee, niandalie vuvuzela kabisaWee usipige kwanza
Alinikagua mume wangu.Yaaah nakumbuka yako ilizingatia itifaki.....
NB. ukishakaguliwa, ndia haivunjiki hata lije bulldozer
Never!!!Ha ha ha ha never say never
ThanksHappy birthday sweetie sakayo may god give you wisdom love n happy life
U know we love u enhee
Akikujibu niiteAmekufanya nn tena huyo mlimbwende
Sawa antieAuntie muwage mnaniita jamani, mie chit chat sipitagi sana[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Very sory mpenzi.
Hiyo siri yako.......Alinikagua mume wangu.
Asante mkuu, naja...Hilo jina nalikubali sana, nina ndugu yangu anaitwa Sakayo aka Sakai........ Karibu kwetu