Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Wewe mwanachama mwenzangu bhn ushemeji tutaitana mwakaniHili faili Ni la ndugu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwanachama mwenzangu bhn ushemeji tutaitana mwakaniHili faili Ni la ndugu kabisa.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Wewe mwanachama mwenzangu bhn ushemeji tutaitana mwakani
Haha [emoji125] [emoji125][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nadhan Ni wakati muafaka wa kukupa cheo cha CEO wa chama..Haha [emoji125] [emoji125]
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Jana jamaa tulikuwa kwenye uzi wake sasa akasema atatuanzishia uzi nikajua anatania.
Abeeeh hivi vale si wa mondray au ndoa ilikufwa
Yaani hata mie Sielewi kabisaa..Abeeeh hivi vale si wa mondray au ndoa ilikufwa
kaka Bonny shikamoo mzima lakini katika hizo heinken zako unazobeba nihesabu na mimi sawa eenhShunie kasema nisiwaalike eti
Mwambie ntakuja na heinken zangu ainsumbue
Hahaha
Sawa bhana
We si ulisema wasijekaka Bonny shikamoo mzima lakini katika hizo heinken zako unazobeba nihesabu na mimi sawa eenh
Ha ha ha wewe c umesema tusje sasa Heineken za nn wewe badilisha kaul yakokaka Bonny shikamoo mzima lakini katika hizo heinken zako unazobeba nihesabu na mimi sawa eenh
hivi kweli mimi niliongea hivi jamaanWe si ulisema wasije
Ha ha ha wewe c umesema tusje sasa Heineken za nn wewe badilisha kaul yako
Umesahau eehhivi kweli mimi niliongea hivi jamaan
lakini Dada si kweli walikula yao wenyewe tena nakumbuka Bonny ndio alikua msemaji wa bday boy siku ileUmesahau eeh
Ukasema yeye na Daby walikula yao wenyewe
Hahahalakini Dada si kweli walikula yao wenyewe tena nakumbuka Bonny ndio alikua msemaji wa bday boy siku ile
ndio tumelipiza[emoji125]Hahaha
Ko tumelipiza
Hahahandio tumelipiza[emoji125]
Kumbe Ndio maana nilisahau kukuwishHahaha
Ko tumelipiza